Wakuu,
Huyu angekuwa hataki kuchora picha angeacha hata
Haiwezekani amchore hivi Rais wetu ambaye ameleta maendeleo kwenye nchi hii kwa kiwango cha kushangaza
Sijapenda na nimeumia sana. Huyu hajui kama Rais wetu kajenga SGR, kamaliza bwawa la Nyerere, katiangaza Tanzania kupitia Royal Tour...