Mstaafu wa nafasi ya Katibu Mkuu na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Philip Mangula, amezungumzia mchakato wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, kukatwa jina katika kinyang’anyiro cha kuwania urais kupitia CCM katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, akisema hatua hiyo haikuwa...