phares magesa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Haika Lawere: Wanawake ficheni Mali Zenu, Wanaume Ni Matapeli!

    Mkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel Bi Haika Lawere jana kwenye Kitchen Party Gala amewafundisha Wanawake kuficha mali zao Wanaume wao wasizijue kwa sababu wanaume ni matapeli hivyo wakizijua watawapeli mali hizo. Je hii inakubalika, Na Wanaume wakificha mali zao hali itakuwaje, nini maoni yako...
  2. JamiiForums Tanzania Kupitia post ya Phares Magesa, itoshe kusema ni risk kubwa kumsomesha au kumwezesha mwanamke kiuchumi

    Mimi nilikuwa sijui kama Haika alikuwa mke wa Mzee Magesa ila baada ya huyu ndugu kupost mtandaoni ndo nikajua. Namjua Haika kama mfanyabiashara mkubwa jijini Dar Es Salaam. Kwa maelezo aliyoandika Magesa ninadhani waliosema mwanamke hasomeshwi walikuwa sahihi. Pia kumwezesha mwanamke kiuchumi...
  3. JamiiForums Tanzania Haika Lawere wa 'Mbezi Garden' apewa Talaka

    Anaandika MUME (Phares Magesa). Watu wengi kwa muda mrefu zaidi ya miaka 4 sasa wamekuwa wakiuliza maswali katika baadhi ya posts zangu mama wa watoto hawa mbona hawamuoni ? kwenye picha nyingi ukiacha chache chache sana za matukio muhimu au labda hata kwenye posts za mama yao pia labda baadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…