Mafao ya asilimia 33.3 hadi sasa ni kitendawili...
Je Nssf iliichangia CCM pesa zetu?
Kama hamkuchangia CCM, tupeni pesa yetu...
Mlinisumbua sana wakati nafuatilia pesa hii...
Licha ya kuwaambia kazi niliyokua naifanya sio profesional...
Ila mlishindwa kutumia busara kunipa pesa yangu...
Watumishi wengi sijui ni kwasababu hawajazoea pesa za mkupuo au kwasbb ya kutokua na financial literacy, wana matumaini makubwa kutoboa maisha endapo wakilipwa pesa yao ya kustaafu pession, wengi kua frustrated na pesa wanao lipwa ambao haiwezi hata kuanzisha biashara ya min-supermarket mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.