Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imempongeza Mwalimu Jao Kalesi wa Shule ya Msingi Kazita, wilayani Muheza mkoani Tanga, kwa ubunifu wa kutumia muziki kufundishia wanafunzi darasani.
Mwalimu huyo ametumia wimbo maarufu wa msanii wa Bongo Fleva, Mbosso Khan, uitwao Pawa, kuingiza maudhui...