paul makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

    Dar es Salaam. Baada ya kuitwa kuhojiwa kuhusu tuhuma za kuhusika na biashara ya dawa za kulevya, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amesema taarifa hizo zilitingisha familia yake, lakini baba yake Jakaya Kikwete alimtia moyo. Tofauti na watuhumiwa wengine waliohojiwa kuhusu matumizi na...
  2. M

    Paul Makonda ni Nani? Ni yule Mchimba mchanga, mkata mkaa

    Habari wakuu! Gazeti la RAIA mwema Leo limetoka na habari kuu yenye kichwa cha habari Makonda ni nani? Yule mchimba mchanga, mkata mkaa? Na mimi nauliza ndiye yule au mwingine? ======== LEO, Februari 15, 2017, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, anatimiza umri wa miaka 35. Katika...
  3. Makontena 115 ya sukari iliyofichwa yakamatwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar Makonda

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amebaini sukari zaidi ya makontena 115 iliyofichwa kwenye bandari kavu ya PMP, Mkuu wa Mkoa ametoa taarifa kuwa kuna zaidi ya Makontena 162 na sio 115 kama ilivyoripotiwa hivyo ameagiza zoezi la ukaguzi wa sukari liendelee kwenye Bandari kavu hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…