Paul Christian Makonda (born 15 February 1982) is the former Regional Commissioner of Arusha, Tanzania. Who is currently member of parliament for Arusha.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka viongozi na waumini wa kanisa kuacha tabia ya kulaumu na kunyooshea viongozi kidole, badala yake wazidishe maombi kwa ajili ya Rais Samia Suluhu Hassan na taifa kwa ujumla.
Akizungumza na viongozi wa Dini katika Kanisa la...
Paul Christian Makonda ni mwanasiasa mashuhuri na mwenye ushawishi mkubwa nchini Tanzania, ambaye kwa sasa anahudumu kama Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na pia ni Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini. Aliteuliwa katika nafasi hiyo ya uwaziri na Rais Samia Suluhu Hassan mnamo Januari 8...
Kutokana na kauli za nyuma nidhahiri Paul Christian Makonda akiwa Makamo wa Rais wa JMT.
Hii aina ubishi na aina comeback!
Ikishindikana Razaro Nyarandu anaweza akaukwa.
Over.
Kwa miaka mingi suala la utekaji na kupotea kwa watu si jambo geni kwa sisi tuliokula chumvi nyingi kwa sababu mbalimbali
Kwa sasa msukumo mkubwa umekuja kwa kuimarika technology na vijana wengi wa 2000 kufikisha umri wa kupiga kura
Siungi mkono jambo lolote linalokwenda kinyume cha katiba...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Arusha Mjini, Paul Christian Makonda amesema kuelekea mwaka 2030 wapo wanasiasa wengi wanaotaka kutumia shida za wananchi kupata uongozi Mkuu wa Nchi, akiahidi kushughulikia wale wote wanaopanga njama za kuharibu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.