Baada ya mke wa Pastor Tony,kushuhudia ibadani kuwa kuna siku waliishiwa gesi,Pastor Tony akaupuliza mrija,wakapata gesi ya kutumia wiki mbili,nchi ni kama imerindima na kupatwa na taharuki
Wengine wanaona,ni usanii at its maximum point,wengine wanajiuliza maswali ya kufikirisha sana,ambayo...