oreshnik

Oreshnik (Bulgarian: Орешник, Greek: Καραϊς Karais or Καρυές Karyes) is a village in the municipality of Topolovgrad, in Haskovo Province, in southern Bulgaria.

View More On Wikipedia.org
  1. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Muda bado mchache kwa Kiev kuchapika tena na Oreshnik

  2. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Lifahamu kombola la oreshnik, linatoka kwenye space likirudi linarudi na kasi ya March 27

    Aisee mrusi ni habari nyingne Hili kombola likiwa ndo linafyatuliwa linatoka na kasi ya 6000km/hr na hapo ndo linapooneka tu Baada ya hapo alionekani tena kwenye rada wala wapi linatoka kwenye space likirud kwenye atmosphere linakuja na kasi ya Mach 27 Hakuna mfumo wa ulinzi wowote unaweza...
  3. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania This is the power of the Russian "Oreshnik" missile,complete devastation and utterly horrifying.

    This is the power of the Russian "Oreshnik" missile, complete devastation and utterly horrifying. Hal Turner World January 06, 2025 Back in November, Russia struck Ukraine with a single Intermediate Range Ballistic Missile, which they named "Oreshnik." The missile had Multiple Independent...
  4. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Zelenskyy na wenzake kimya hawajarusha tena makombora yao baada ya kitu kizito Oreshnik kutua ukraine kwa dakika 15, umbali km 1000

    JAMAA wamejifungia sehemu wanajadili jinsi walivyoumbuka wakijodanganya eti kilanja wao mkuu ameleta Patriot. Sasa cha kitu kipya Kwa jina oreshnik hili kombora lilipojaribiwa kule Russia west walidharau na kusema eti Putin kawaonyesha video game sasa dude limefyatuliwa bila vichwa vya...
  5. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga; Silaha mpya ya Russia aina ya Oreshnik, imeleta madhara gani Ukraine?

    Mwenye tarifa na video za madhara yaliyosababishwa na silaha hatari zaidi duniani aina ya Oreshnik iliyotengenezwa kwa technology ya juu kabisa huku ikishuhudiwa na warusi wa Chanika, gongolamboto na ushetu Karibuni mtujuze Imekuwa kila anayeandika kuihusu aina hii ya silaha, anaisifia sana...
  6. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Oreshnik: Silaha mpya tishio iliyotumiwa na Urusi. Hakuna mfumo unaweza kuzuia duniani, isipokuwa S550 wa Urusi wenyewe

    Marekani yapewa taarifa na Russia dakika 30 kabla, Ukraine na washirika wake washindwa kuizuia. Ina uwezo wa kufika na kuangamiza mahali popote Ulaya nzima. Hakuna mfumo wa kuizuia. Ni Hypersonic hivyo inaweza kusafiri kwa kasi ya Mach 10 (kilometa 3 kwa sekunde, huwezi kuiona muenendo wake...
Back
Top Bottom