oliver semuguruka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. and 998 others

    Oliver Semuguruka 'Twiga' akatwa Kamati Kuu

    Twiga katenguliwa miguu na Kamati Kuu. Chezea Siasa za bongo
  2. Stephano Mgendanyi

    Oliver Semuguruka apongeza ushindi wa madiwani wa viti maalum wilaya za mkoa wa Kagera

    OLIVER SEMUGURUKA APONGEZA USHINDI WA MADIWANI WA VITI MAALUM WILAYA ZA MKOA WA KAGERA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kagera, Mhe. Oliver Daniel Semuguruka ametoa pongezi za dhati kwa Madiwani wa Viti Maalum kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Kagera kutokana na ushindi waliopata kwenye uchaguzi...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Oliver Semuguruka auliza lini Serikali itajenga Stendi ya kisasa, Ngara Mjini

    Mbunge wa viti maalum (CCM) mkoa wa Kagera, Mh Oliver Semuguruka ametaka kujua lini serikali itajenga stendi ya Kisasa, Ngara Mjini. Oliver amehoji hayo leo tarehe 12 Juni, 2025 bungeni Jijini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali na majibu kwa wizara ofisi ya Rais TAMISEMI. Akijibu swali hilo...
  4. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Oliver Semuguruka atoa majiko ya Gesi kwa Wanawake Wajane, Bukoba

    Leo tarehe 22 Aprili, 2025, Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kagera, Mhe. Oliver Daniel Semuguruka, amekabidhi mitungi ya gesi zaidi ya hamsini (50) kwa wanawake wajane wanaoishi katika Halmashauri ya Bukoba. Akizungumza katika Baraza Maalumu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Bukoba...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Oliver Semuguruka Aungana na Wana Kagera Kumpongeza Rais Samia na RC Kagera

    MHE. OLIVER AUNGANA NA WANA KAGERA KUMPONGEZA MHE. RAIS NA MKUU WA MKOA KAGERA Leo, tarehe 30 Novemba 2024, historia imeandikwa katika Mkoa wa Kagera, ambapo wana Kagera walijumuika kwa pamoja kumpa heshima Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa...
  6. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Oliver Semuguruka: Wanawake Chukueni Fomu Mgombee Uchaguzi Serikali za Mitaa

    MBUNGE OLIVER SEMUGURUKA: WANAWAKE CHUKUENI FOMU MGOMBEE SERIKALI ZA MITAA Kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajia kufanyika mwezi Novemba mwaka huu, Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kagera (CCM), Mhe. Oliver Semuguruka amewataka wanawake wilayani Ngara kujitokeza kuchukua fomu za...
  7. C

    PreGE2025 Mbunge wa viti Maalum Kagera Oliver Semuguruka kufanya ziara wilaya zote za Kagera

    KAGERA MPOOO!! Baada ya Shughuli za Bunge kuahirishwa,sasa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa Kagera Mhe. Oliver D. Semuguruka (Twiga) anakuja kufanya Ziara katika Wilaya zote za Mkoa Kagera. “ Kiongozi bora ni yule aliye karibu na anaowaongoza.” Ni Imani yangu kuwa kila mmoja ni shuhuda wa namna...
Back
Top Bottom