Mkutano wa wetu wa leo ni kuhusu mchezo wa hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FC 15 de Agosto ambao utapigwa Oktoba 21, 2026 saa 9:00 alasiri katika Uwanja wa Uhuru. Mabadiliko ni kutoka kesho Jumanne kwenda Jumatano. Msimamo wao mechi ya tarehe 21 haitakuwa na mashabiki, sisi...