october man

  1. K

    Mashine ya kutengeneza na kukausha chaki za mashuleni on sale

    Mashine ya Kutengeneza na Kukausha Chaki za Shuleni ON SALE Tsh 30mil (Milioni 30) Karibu tufanye biashara. Call 0767 235923. Sifa za Mashine ya Kutengeneza Chaki: Inatumia Umeme wa Single Phase; Ni Semi-Automatic: Inatumia Motor kuchanganya Unga wa CHaki na Maji; Ina Moulds (vinu) 6 za...
  2. milionea wa kesho

    Nimeshuhudia aisee Kilimo kinalipa sana

    Kwa wiki nzima sasa nimezunguka vijiji kadhaa nikifanya ziara ya kitafiti kuhusu kilimo. In fact tusiite ziara niseme tu nachunguzachunguza mustakabali wa kilimo kupitia kivuli cha kuwatembelea ndugu zangu wajomba na mashangazi vijijini huko ndani ndani. Asikuambie mtu kilimo kinalipa...
Top Bottom