nyumba ya ibada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Wakazi wa Malamba Mawili kwa Ndodi tunateseka na sauti ya muziki mkubwa hadi usiku mwingi

    Wakazi wa Malamba Mawili kwa Ndodi, Mtaa wa Chande B, Dar es Salaam kuna jengo la ibada linaitwa King'azi B Kisima cha Sifa, bila kuwakosea heshima wahusika lakini kwa kweli limekuwa kero kwa Wananchi, kutokana na wahusika kupiga muziki kwa nguvu sana mpaka usiku wa manane. Sauti kubwa sana...
  2. J

    Je Kuna Uhalali wowote Kusalia Mbele ya Nyumba ya Ibada ya Dini Nyingine?

    Hicho ndicho kilichotokea wakati wa Eid Al Adha huko Montreal Canada. https://x.com/realMaalouf/status/1932453119792685440 Na bado Waziri Mkuu wa Canada katika salamu zake za Eid, alimwaga sifa kemkem kwa Waislamu. Swali jingine mtu anajiuliza je this love affair baina ya viongozi wa kisiasa wa...
  3. R

    Kama imewezekana kupiga security tapes nyumba ya ibada, kumbe hata ununio na Mabwe pande inawezekana!

    Hellow! Kama imewezekana haraka siku hiyo hiyo kuweka ulinzi na kufunga eneo lote la kanisa la ufufuo na uzima, Kumbe hata ununuo na mabwe pande ambapo watu hutupwa wakiwa wameuwawa au kuumiza, inawezekana kuweka ulinzi wa 24 hours Ili kuzuia Hali hiyo kuendelea kutamallaki nchini petu...
  4. PreGE2025 DC Magoti atamani Mwamposa akajenge Kanisa (nyumba ya ibada) Kisarawe

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Peter Magoti, amempongeza Mtume Boniface Mwamposa kwa huduma yake ya kiroho na misaada anayoitoa kwa watu wenye mahitaji mbalimbali. Magoti alisema kuwa Mtume Mwamposa amesaidia watu wengi wenye shida mbalimbali na kutokana na mchango wake mkubwa, alimwomba kuja...
  5. Lini ilikuwa mara yako ya mwisho kuhudhuria kwenye nyumba ya ibada?

    Ngoja nisome comments...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…