nyumba ya ghorofa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyumba ya ghorofa (apartment) inauzwa – Upanga 🏒

    πŸ“ Eneo: Upanga 🏠 Aina: Apartment (Floor ya Kwanza) 🚫 Jengo halina lift ✨ MAELEZO YA NYUMBA: βœ”οΈ Vyumba 3 vya kulala βœ”οΈ Master Bedroom 1 βœ”οΈ Sebule kubwa βœ”οΈ Jiko βœ”οΈ Inafaa kwa matumizi ya Makazi au Biashara πŸ’° BEI: πŸ‘‰ Tsh 300,000,000 (Bei ni FIXED) πŸ“ž MAWASILIANO: 0784 225 000 πŸ“Œ Wasiliana nasi kwa...
  2. RUTO: Tanzania na Uchumi wao mdogo, wananunua shamba hapa Upper Hill Kenya kujenga ghorofa na sisi tumelala

    Williams Ruto hawapelekea moto wakenya baada ya kuona hawajitumi katika kujenga Nchi, huku akitolea mfano wa Watanzania wameenda kununua ardhi maeneo ya Upper Hill jijini Nairobi sawa na maeneo ya Masaki Osterbay na kisha kujenga Ghorofa kali. Huku wakenya wengi wakiwa wamelala bila ya kujituma...
  3. NYUMBA YA GHOROFA 5 INAUZWA,IPO MAGOMENI MOROCCO DARESSALAAM TANZANIA,UKUBWA WA KIWANJA 2,850SQM,BEI NI TSH BILLION 1.5

    #houseforsale YA KWANZA KUTOKA BARABARA YA LAMI NYUMBA YA GHOROFA TANO (5) INAUZWA IPO MAGOMENI MOROCCO DARESSALAAM INA APARTMENT NANE (8) ZA VYUMBA VIWILI,SEBULE,JIKO&CHOO PIA INA APARTMENT MOJA YA VYUMBA VINNE,AMBAYO IKO JUU FLOOR YA MWISHO INA FRAME NNE (4) NA ZOTE ZINAFANYA...
  4. MNEC Joseph Peneza aozesha binti yake, ampa zawadi ya nyumba ya ghorofa, shamba na milioni 70

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kutoka Mkoa wa Mtwara, Komredi Joseph Mkuyu Peneza, ameandika historia kwa kufanikisha harusi ya binti yake, iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katika tukio hilo lililohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, chama, ndugu, jamaa...
  5. P

    Msaada kuhusu ujenzi wa nyumba ya ghorofa kumi kwenye eneo la sqm 500 hapa temeke

    Ni kiasi gani niwe nacho kuweza kujenga ghorofa kumi structure tu bila finishing? Kwa wataalamu natanguliza shukran nyingi sana Eneo temeke wailes Ukubwa 500 sqm Tambarare
  6. Plot4Sale House4Sale Plot, House for sale

    PLOT FOR SALE MBWENI Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa Iko Mbweni mpiji inagusa lami Ni sqm 1000 πŸ“ŒπŸ—’Ina Hati safi kabisa πŸ“ŒNi pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo πŸ“ŒPlot inataka milion 150 maongez kidogo NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA...
  7. M

    Ujenzi wa ghorofa 1 hatua kwa hatua na makisio ya vifaa

    Wadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na sebule. Ombi kwenu ni makisio na hatua za kufuata za ujenzi pia kama itawezekana kujua idadi ya nondo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…