Ifahamu Nyota ya Simba: Jasiri na Wenye Nguvu ya Uongozi
Watu waliozaliwa kati ya Julai 23 hadi Agosti 22 ni Nyota ya Simba.
Watu wa nyota hii wanajulikana kwa kuwa na haiba ya uongozi, ujasiri wa hali ya juu, na mvuto wa asili. Simba ni watu wanaojiamini na mara nyingi hujitokeza kuwa viongozi...
MAELEZO YA NYOTA YA SIMBA LEO
Hii ni nyota ya Tano katika mlolongo wa nyota 12. Nyota hii ni kwa watu waliozaliwa kati ya Tarehe 23 Julai na 22 Agosti au wenye majina yalio anza na herufi E na Q.
waliozaliwa kati ya Tarehe 21 July na 20 August Asili yao ni Moto. . Sayari yao ni Sun (Jua). Siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.