Kalamu ya uandishi wangu inakusanya maono ya fikra, hisia, mawazo na shauku ya msomaji mwenye ari ya kutaka kufahamu kichwa cha makala hii kinalenga nini hasa? na je, makala hii inanigusa? na itaniletea mabadiliko baada ya kuisoma na kuielewa vizuri?. Bila shaka na hofu ondoa ndugu msomaji wa...