nyanza

Nyanza Province (Kenyan English: [ˈɲaːnzə]; Swahili: Mkoa wa Nyanza) was one of Kenya's eight administrative provinces before the formation of the 47 counties under the 2010 constitution. Six counties were organised in the area of the former province.
The region is located in the southwestern part of Kenya around Lake Victoria. It includes part of the eastern edge of the lake and is inhabited predominantly by the Luo people and Kisii people. There are also Bantu-speaking tribes, such as the Kuria, and some Luhya, living in the province. The province derives its name from Nyanza, a Bantu word which means a large mass of water.
The provincial capital was Kisumu, the third-largest city in Kenya. The province had a population of 4,392,196 at the 1999 census within an area of 16.162 km2, or 12.613 km2 of land.
The climate is tropical humid.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    Ruto, Orengo Pledge to Set Aside Politics for Nyanza Development

    President William Ruto and Siaya Governor James Orengo have pledged to put aside political differences and work together to accelerate development in the Nyanza region. The commitment came during a high-level meeting that brought together national and regional leaders to discuss key priorities...
  2. Polisi wadai eti Rehema ndo alimuua Athumani Nyanza wa Ilala

    Huyu ndo Muliro. Muongo wa taifa Polisi Tanzania imezungumzia mauaji ya hivi karibuni. Kwamba baada ya mauaji, Polisi Dar es Salaam ilianza uchunguzi wa mauaji ya mtu aliyejulikana kwa jina la Athumani Nyanza ambaye mwili wake ulikutwa umefukiwa kwenye shimo karibu na nyumba yake huko maeneo ya...
  3. A

    DOKEZO Responded Kuna mazingira ya ukiukwaji wa taratibu za udahili kwa Shule ya Nyanza English Medium (Mwanza)

    Napenda kutoa taarifa hii ili kufichua vitendo vya urasimu na ukiukwaji wa taratibu katika zoezi la utoaji wa nafasi za kujiunga na Shule ya Nyanza English Medium kwa Mwaka wa masomo 2026, hususan kwa Madarasa ya awali na Darasa la Kwanza. Awali, uongozi wa shule hiyo ya Serikali ambayo...
  4. Ukanda ya Ziwa Victoria (Nyanza) ni eneo linalotoa viongozi wa kimkakati sana, shupavu, na watu kazi

    Watoto wawili kutoka Ziwa Victoria na kama Wakoloni wasingetutawala na kuweka mipaka au wakazi wanaozunguka ziwa Victoria wangetengeneza nchi yao. basi Ukanda wa Nyanza (Ziwa Victoria) ungekuwa ukanda tofauti sana, tumbo la Ziwa lile limetupa Watu Mashujaa sana kwenye majukwaa ya siasa na...
  5. U

    Kama ni kweli Balozi Polepole anaasili ya kisiwa cha Ukara huko ziwa Victoria basi ipo kazi kwani hao jamaa naambiwa wanajiamini kweli kweli!

    Ni hayo niliyonayo kwa Leo kama nimekosea mnisahihishe
  6. Kwanini tuendelee kuliita Ziwa Victoria na si Nyanza?

    Katika moyo wa Afrika Mashariki lipo ziwa kubwa, lenye umuhimu mkubwa wa kiuchumi, kijamii na kiutamaduni kwa mamilioni ya watu wanaolizunguka – Tanzania, Kenya na Uganda. Ziwa hilo, ambalo kwa karne sasa limekuwa likiitwa “Ziwa Victoria,” lilikuwa na majina ya kiasili kabla ya kupewa jina la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…