nyama ya kukaanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwachiluwi

    Tupike ndizi nyama ya kukaanga

    Hello Najua mesoma sana thread za siasa now mnatakiwa kutuliza akili ikae sawa kidogo Tuanze mtindo uhu ni raisi na hauli mda wako kabisa Kwanza menya ndizi zako kisha kata style unayopenda mimi nilichanganya na viazi baada ya hapo kaanga zio ndizi na zisikauke sana Baada ya hapo chukua...
  2. BARD AI

    Ni hatari kutumia Mkate, Nyama ya Kukaanga, Coca, Kababu au Tambi kabla ya Kulala?

    Wadau nimekutana na hiki kitu kwamba ni hatari kwa Binadamu yeyote kula vyakula kama Kababu, Suya, vinywaji vya Coca, Nyama ya Kukaanga kwa Mafuta na Mikate yenye Ngano kabla ya kwenda kulala. Je, lina ukweli kiasi gani hili?
  3. Black Opal

    Unafanyaje kukaanga nyama au samaki bila mafuta kukurukia?

    Wakuu katika vitu vinanifanya nisile nyama au samaki za kuunga ni vile unavyokaanga halafu mafuta yanakurukia. Yaani unakuwa unapika sura umeweka Magharibi mkono unaogeuza mboga kwenye mafuta uko mashariki. Mimi huwa napaka unga wa ngano, lakini wakati mwingine huwa sitaki kupata ladha na...
Back
Top Bottom