numerolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Victor Mlaki

    Mwaka 2026 katika numerolojia: Mwanzo mpya na nyota ya matumaini

    Katika numerolojia namba ndiyo siri na nguvu itawalayo maisha kama nilivyowahi kuandika juu ya mwaka 2025 ni njia ile ile ninayoitumia kuhesabu mwaka wa 2026: 2 + 0 + 2 + 6 = 10, na kisha jumlisha tena: 1 + 0 = 1. (Kwa sababu lengo ni kupata namba ukiwa katika dijiti moja "single digit") Kwa...
  2. Victor Mlaki

    PostGE2025 Nikizifuatilia hizi tarehe 29/10/2025 na 9/12/2025 katika numerolojia naiona nguvu ya aina moja

    Katika numerolojia maisha na matukio yake yanaweza kupunguzwa na kuonesha nguvu yake katika namba. Angalia hii: Tarehe 29/10/2025=2+9+1+0+2+0+2+5 =11+1+4+5 =12+9...
  3. Victor Mlaki

    2025 ni sawa na namba 9 katika numerolojia, ni mwaka wa wa ukomo wa vitu vingi Ili kuanza upya

    Namba 9 katika numerolojia ni namba ya mwisho Kwa sababu Kila namba katika maarifa hayo Inaweza kupunguzwa na kuwa dijiti moja. Inawezekana pia baadhi ya wataalamu kupunguza namba kuu "master numbers" kuwa dijiti moja. 1 mpaka 9 ndiyo uwanda wa numerolojia na mwaka huu 2025 ni sawa na 2+0+2+5...
Back
Top Bottom