nssf tanzania

The National Social Security Fund (NSSF) (also NSSF Uganda), is a quasi-government agency responsible for the collection, safekeeping, responsible investment, and distribution of retirement funds from employees of the private sector in Uganda who are not covered by the Government Retirement Scheme. Participation for both employers and employees is compulsory. The Uganda National Social Security Fund is the largest pension fund in the countries of the East African Community, with total assets of USh18.58 trillion (approx. US$4.981 billion), as of June 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Wafanyakazi wa Benjamin Mkapa Foundation kupitia mradi wa USAID afya endelevu toka tumesimamishwa kazi hatujapata mafao yetu kutoka NSSF

    Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi 1,299 waliokuwa Watumishi katika Mradi wa AFYA ENDELEVU chini ya BENJAMIN MKAPA FOUNDATION uliokuwa unafadhiliwa na USAID. Baada ya USAID kufuta Mradi wa AFYA ENDELEVU kuanzia tarehe 24/3/2025, Taasisi yetu (Mkapa Foundation) ilitutumia notice ya kutupa taarifa...
  2. A

    KERO NSSF wanakwaza wakati wa madai

    Hili suala la NSSF kuzuia mtu kupata mafao yake, ikiwa amemaliza mkataba wa kazi, au kufukuzwa, wanaleta hoja ya ndani ya mwezi utakua umepata kazi nyingine na inahusika na NSSF, si sawa sababu changamoto za maisha halisi hatufanani. Pia namba za huduma kwa wateja hazipokelewi kabisa zaidi ya...
  3. I

    DOKEZO Nazungushwa kupata Mafao baada ya Mkataba wa kazi kumalizika, naambiwa niliacha kazi

    Naomba msaada nijue haki yangu naipata wapi. Mimi niliajiriwa katika kampun ya Tanzania Tooku Garments Company Limited na nimemaliza mkataba wangu kama ilivyo makubaliano ya mkataba ni wa muda mfupi (12 months) na yote nimetumikia. Nilipoandika barua ya kutoa taarifa ya kutoendelea nao baada ya...
  4. Ndengaso

    NSSF Tanzania (Mwanza) tunaomba Maelezo kwanini wastaafu wa JWTZ mwanza hawajapata Mafao yao ya kila mwezi hadi leo.

    PSSSF Tanzania tunaomba Maelezo kwanini baadhi ya wastaafu wa JWTZ mwanza hawajapata Mafao yao ya kila mwezi kwa mwezi june hadi leo ? Moderator Active naomba kichwa cha habari kisome PSSSF.
  5. Knock life

    Ikiwa mwajiri amegoma au kushindwa kukuingizia hela yako ya NSSF na tayari mkataba wako umeshaisha na mmeagana kwa amani nini hasa unabidi kufanya?

    Wakuu , naomba muongozo ni hatua gani sahihi za kuchukua endapo mwajiri hataki kukuwekea pesa yako NSSF na tayari mmeachana vizuri. Umri wa mwajiriwa umeshafika 60 yrs Ila mwajiri hataki kuingiza pesa NSSF?
Back
Top Bottom