no reform no elections

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. tonicimmobility

    GE2025 Hao watatu mnaoshikilia mtuambie wapo kituo gani maana oktoba 29 inaweza ikawa hata kesho, tumechoka

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema linawashikilia watu watatu kwa mahojiano, kufuatia tukio la kushambulia usafiri wa mwendokasi. ‎ ‎Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Murilo, Oktoba 1 mwaka huu, ikibainishwa kwamba...
  2. Waufukweni

    GE2025 Gerson Msigwa: Wanaosema wasishiriki uchaguzi, wanapoteza muda, huwezi kusema uchaguzi haupo

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema, "Lakini natambua kwamba kuna watu wanafanya Kampeni mtandaoni kuhamasisha watu wasishiriki uchaguzi, wanapoteza muda hili ni takwa la kikatiba....huwezi ukaibuka ukasema uchaguzi haupo."
  3. Komeo Lachuma

    PreGE2025 Yanaandaliwa Mazingira ya kufungia Mikutano ya 'No Reforms, No Election'. CHADEMA msiingie kwenye mtego

    Kuna watu wanatumwa waje wasababishe hawa ghasia au sami fujo katika mikutano yenu. Mkijidai kulala nao sambamba police wataingilia na kuwatandika kisawa sawa. Kisha next time mtanyimwa vibali vya kufanyia mikutano. Nawapa hili angalizo maana ni habari za ndani kabisa kutoka kwa mmoja ya...
  4. Tlaatlaah

    Usaidizi wa gen z wa Kenya waidhoofisha kampeni nonsense ya no reform no elections ya Chadema iliyopoteza uelekeo kisiasa nchini Tanazania

    Kampeni hiyo imezimika kama moto wa mabua mitandaoni, field na ground baada ya wanainchi kuipuuza kizalendo zaidi. Hali hiyo imekuja baada ya gen z wa Kenya kuacha tena kusambaza hiyo ujinga kutokana na m.sarungi kuacha kutoa pesa kwa gen z wa Kenya, na chadema Tanzania nao wakajikuta...
  5. Tlaatlaah

    Heko Watanzania kuipuuza kizalendo nonsense ya No reform no elections ground, field na kwenye mitandao ya kijamii

    Karibu pumzi inawaishaia hao vibaka na matapeli wa kisiasa na hiyo nonsense yao ya no reform no elections. Hongera sana wananchi wote ground, field na mitandaoni kwa kukataa kubebwa ufala wa kifikra na hao matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo. Mmewapuuza kwa maneno na matendo kijasiri...
  6. Tlaatlaah

    PreGE2025 'No reform, no elections' ni sawa na kelele za chura kwenye maji ambazo hazimzuii mwenye kiu kunywa maji kwa uhuru, amani na uwazi

    Makelele na mayowe ya mitandaoni yaliyopambwa na dhana potofu ya no reform no elections, hayana faida wala athari zozote kwenye uhuru na haki za wananchi kukamilisha maandalizi ya mwisho ya kujiandikisha kupiga kura na hatimae kushiriki kikamilifu katika zoezi la uchaguzi mkuu wa kihistoria...
  7. Z

    Kampeni ya no reform no elections ,ni matumizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa

    Labda kama kapeni hii imefadhiliwa na EU au USA, vinginevyo ni matimizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa ambayo ni hela za walipakodi walalahoi wa kitanzania. Nasema hivyo kwa sababu the main goal ya kuzuia uchaguzi haitafanikiwa kwa sasa. Poor timing.sasa kama kapeni hii haiwezi kuletea...
  8. Tlaatlaah

    Agenda ya no reform no elections ndio hasa chanzo cha wafanyabiashara wafadhili wa siasa nchini kuikacha CHADEMA na kuelekeza uwekezaji wao CHAUMMA

    Agenda hiyo isiyo na faida imewakimbiza wafadhili wa kiuchumi chadema na imewakimbiza wanachadema physically na kuwademoralize kisiasa kwa kiwango kibaya sana. Kwasababu, wametathimini kwa kina sana kwamba, chadema haishiriki uchaguzi mkuu wa october mwaka huu 2025, na wala haina sifa na vigezo...
  9. Tlaatlaah

    Lawama zote za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi Mkuu atapewa John Mnyika kuliko hata aliyeshupalia 'No Reforms No Election'

    Atakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao vya siasa kwa makusudi, kwa ulevi tu wa vyeo au kukosa maono na kuvifanya vyama hivyo kupotea kabsa...
  10. Lord Denning

    Kesi ishakuwa ngumu hii, No Reforms No Election imeshawazidi nguvu System na CCM

    Kutokana na kupokelewa kwa kiwango cha kutisha ajenda ya No Reform No Elections napenda kuwashauri system na CCM wasitishe mradi wao wa kutoa fedha kwa madalali eti kuonesha Chadema inakufa Hiki Chama badala ya kufa ndo kinazidi kupendwa kwa kiwango cha kutisha na Watanzania. jioneeni ya leo...
  11. U

    Nashauri Serikali iwanyang'anye Viongozi Chadema hati za kusafiri, wanazitumia vibaya kuichafua nchi yetu wanaposafiri nje hasa ulaya na Marekani

    Wadau hamjamboni nyote? Huu ni ushauri wa manufaa kwa Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania Passport mlizowapa Viongozi wahusika kupitia Jeshi la Uhamiaji zinawatia kiburi na huzitumia kuharibu tashwira nzuri ya taifa letu tukufu Ni vema mkawadhibiti Viongozi ( baadhi yao) waliokosa...
  12. S

    Kampeni ya No Reform No Elections iendane na kuyasihi mataifa yaliyoendela kuwawekea vikwazo viongozi wa Tanzania kwa ukiukwaji wa haki za wapinzani

    Mimi nadhani ni jambo la msingi kwa Chadema kuanza kukutana na wawakilishi wa mataifa ya kigeni, hususa za magharibu, na kuwatumia kuwashnikza viongozi wa Tanzania kufanya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi na kuacha ukiukwaji wa haki za msingi za wanasiasa wa upinzani nchini. Kama ambavyo...
  13. Tlaatlaah

    Well done g55 kwa kuipuuza na kuipinga useless and nonsense agenda ya Tundu Lissu ya no reform no elections kwa uzito na ukubwa unao stahili

    Mmefanya kazi nzuri tangu mwanzo, ya kutetea uhuru na haki za wanachadema, ikiwa ni pamoja na haki ya kupiga kura. Wanachadema na wananchi kwa ujumla, wamewaelewa vizuri sana na wanawaunga mkono kwelikweli. Na katika maeneo mengi nchini mpaka sasa, no reform no elections imepuuzwa, imepingwa na...
  14. Tlaatlaah

    NDUGU MWANACHADEMA, UNACHAGUA KUA UPANDE WA KIDEMOKRASIA, NO REFORM NO ELECTIONS AU UPANDE WA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA OCTOBER?

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October mwaka huu, utata na migawanyiko imeibuka hususan ndani ya chadema. Je kama mwana chadema, ukiachilia mbali mvutano wa kamati kuu na g55, wewe ungependa uwe upande gani katika mgawanyiko huu wa kidemokrasia ndani ya chadema? :NoGodNo: Mungu Ibariki Tanzania
  15. Tlaatlaah

    Je, Lisu ajiuzulu kuiongoza CHADEMA baada ya agenda yake no reform no elections kukataliwa na kupuuzwa na wanaCHADEMA na wananchi kwa ujumla

    Ni muhimu kuhitimisha kwa kusema tu kwamba, Tundu Antipas Lisu Chadema imemshinda ndani ya kipindi kifupi tu, na kabisa kuna ishara zote kwamba muungwana hatakua na jipya tena ndani ya Chadema baada ya uchaguzi mkuu, zaidi tu ya kuizamisha na kuipoteza tu Chadema mazima kwenye medani za siasa za...
  16. Tlaatlaah

    PreGE2025 Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea urais, maana yake agenda yake ya No reform no Elections imeyeyuka rasmi na kuwa null and void

    Kwenye kikao cha watia nia wa Chadema walioitwa HQ Dar es salaam, ilitangazwa rasmi kwamba tayari ndugu Tundu Lisu ameshawasilisha barua ya kutangaza nia ya kugombea urais kwa katibu mkuu wa Chadema kupitia chama hicho. Hiyo ikimaanisha anajiandaa kushiriki kikamilifu uchaguzi huo mkuu wa...
  17. Tlaatlaah

    PreGE2025 Wanaotangaza nia CHADEMA wakati kuna ajenda ya No reforms No election, inaashiria nini kuelekea uchaguzi 2025?

    Katika maeneo mengi nchini, hivi sasa joto la teuzi ndani ya vyama vya siasa kuelekea uchaguz mkuu wa October mwaka huu 2025 linaendelea kupanda taratibu, lakin ni kali mno. Vipo vyama vya siasa nchini, mathalani Chadema, eti imekusudia kutumia wanachama wake kuzuia uchaguzi huo muhimu wa...
  18. Tlaatlaah

    No reforms No election kuigawa na kuisambaratisha CHADEMA kuelekea Uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025

    Makada wake maeneo mbalimbali nchini wamegawanyika, wapo waoendelea kujipanga na kutangaza nia za kugombea urasi, ubunge na udiwani, huku wengine wakiwa na msimamo sawa na ule wa mwenyekiti wa chama hicho Taifa na katibu mkuu wake, ambao mara kwa mara wamekua wakidai kutoshiriki uchaguz mkuu...
  19. Tlaatlaah

    PreGE2025 No reform no elections yapuuzwa, mamilioni ya wananchi wa jiji la Dar es Salaam wajitokeza kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la kupiga kura

    Shauku na hamasa kubwa waliyonayo wananchi wa jiji la Dar es salaam wa kuitikia wito wa Tume Huru ya Uchaguzi wa kujiandikisha kwa wale ambao wametimiza sifa, lakini pia kuboresha taarifa zao kwa wale walio hama vituo na kupoteza vitambulisho vyao vya kupigia kura, ni ishara tosha kwamba no...
  20. Mindyou

    PreGE2025 Wilbroad Slaa: Hata CCM wanasema kuhusu No Reforms No Election kazaneni hapo hapo. Mliona kilichofanyika Dodoma, wamevunja sheria!

    Wakuu, Kumbe kuna watu uko CCM na wenyewe wanapendezwa na hii agenda ya CHADEMA ya No Reforms No Elections? Akiwa anazungumza leo kwenye ukumbi wa Mlimani City wakati yuko kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake Dkt Slaa amesema kuwa kuna baadhi ya watu CCM wanaunga agenda ya CHADEMA ya No...
Back
Top Bottom