nmb mobile

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO NMB, kwanini mtumie saa 24 kushughulikia muamala ambao HAUJAKAMILIKA?

    Nilikuwa natoa hela bila card (PESA FASTA) kwenye ATM ya NMB DODOMA leo, baada ya kumaliza kutoa kwenye simu nikawa nasubiria meseji ya namba ya siri ili iniwezeshe kutoa kwa kwenye ATM lakini nilisubiria kwa zaidi ya dakika 15 lakini sikupata Meseji. Nikawapigia huduma kwa wateja wakaniambia...
  2. monta

    Makato NMB mkononi to Lipa namba

    Wakuu hii Makato NMB mkononi to Lipa namba ya Voda yameanzia kwangu tu au ni kwa kila mtu.Juzi nimefanya muamala wa wa laki na 50 wamenikata almost 5,000 wakati kabla ya hapo nikilipa NMB kwenda lipa namba ya voda hua ni free.Leo nimelipa tena 10,000 wamenikata 1,000 hii imekuwaje wakuu naombeni...
  3. ANT DRUGS

    Msaada namna ya kurudisha muamala NMB mobile app

    Habari zenu wadau. Nilikuwa nataka kumtumia mtu hela kupitia NMB MOBILE APP.Bahati mbaya nimekosea namba yake ya mwisho ya account na hela imeenda kwa mtu mwingine (nilikuwa busy sikuzingatia sana jina la Acc).Nimeangalia vipengele kwenye NMB MOBILE APP sijaona option ya kurudisha muamala...
  4. Trainee

    Tigo wameondoa makato ya shilingi 100 kimya kimya kwenye huduma ya NMB Mobile

    Kilichoniondoaga voda ni hii ishu ya sh.100 sasa nilivyokuja tigo nao haikuchukua muda wakaanzisha huo ujinga tena bila kuarifiwa wala kushirikishwa. Mshahara jana ukaingia kwa wengine na ukachelewa kwa baadhi yetu basi watu kutokana na kupigika wakawa wanachungulia moja kwa moja accounts zao...
  5. Matango

    Ukiingia kwenye NMB Mobile inakwambia salio halitoshi

    Salaam kwa NMB au washirika wao wanaopitia humu kwenye jamvi. Tofauti na Benki nyingine, kwa maslahi ya kibiashara majina siwezi kuyataja. Naomba mwenye kujua ni tatizo la kiufundi au salio langu kwenye simu ni tatizo na kama kuna mwingine anapata tatizo hilo tjuane. Ukiingia kwenye NMB...
  6. Championship

    Nimekatwa Tsh 5,300 kuhamisha Tsh 50,000 kutoka NMB mobile kwenda M-PESA

    Nilikuwa sijawahi kutumia hii huduma lakini sasa nilijaribu wiki mbili zilizopita na sikuangalia salio. Muda huu nimepata bank statement kwenye email ndio naona hayo makato. Tsh. 5,300 (NMB Tsh. 4,491.53 na VAT Tsh. 808.47) imenishangaza kukatwa zaidi ya asilimia 10 ya fedha niliyohamisha...
  7. limbende

    NMB Mobile haipatikani

    Wandugu habari za leo Samahan NMB Mobile Application inaniambia huduma hiyo kwa sasa haipatikani vipi wenzangu na nyie uko hivihivi au mim mtu. Msaada tafadhali kwa anaejua
Back
Top Bottom