Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Namshukuru Mungu ni mzima hata sasa, Jumapili nilinusurika ajali mbaya san, Kikubwa Uzima.
tuende kwenye Mada
Kama unajua/unauza vifaa hivi vya nisaan dualis niuzie upate pesa chap chap
1. Engine Cover, hii ndio ninayohitaji.
2. Inner fender(madgad)...