nimuoe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Binti wa Chuo anataka nimuoe na nimvumilie amalize masomo, najiuliza itakuwaje badae?

    Wapendwa katika Kristo, BWANA YESU asifiwe sana,, Asalaam Aleykum kwa Waislam wote ,Twende kwa maada wapendwa,kuna binti yupo kidato cha sita na atamaliza mwaka huu baadae ataenda chuo kama miaka mitatu japo sijajua atasomea nini,huyu Binti tupo nae mtaa mmoja japo kuna umbali kiasi na tunasali...
  2. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameomba nimuoe mke wake?

    Habari wakubwa wangu, Leo nimekaa hapa na moyo umenichoma kama kisu. Siwezi hata kulala. Nipo njia panda, maisha yamenifanya nistuke na kuogopa kila kitu. Rafiki yangu wa karibu sana, Juma, amenifanya nitoe machozi kama mtoto mdogo. Juma na mimi tumekuwa kama ndugu tangu shule ya sekondari...
  3. JamiiForums Tanzania Nataka nimuoe huyu Lovely Emmy wana JF mje mshiriki sherehe napoopoa mtoto mzuri kipenzi cha dhati

    Lovely Emmy nahisi atakuwa mtoto mzuri laini laini na nyoronyoro mpya humu JF. Nataka nimuwahi kabla watu hawajamwaribu sana. Nimuoe Mimi nina wake wawili kwa sasa. Nahitaji mwingine wa 3 ila awe binti mdogo mdogo but na nyama awe nazo. Ndo maana naona lovely emmy ni chaguo sahihi mimi kumuoa...
  4. JamiiForums Tanzania Kanizidi umri lakini ana sifa hizi. Je, nijilipue nimuoe?

    Habari zenu, Niko kwenye mahusiano na mwanamke ambaye kwa sasa ana miaka 30 kanzidi mwaka mmoja. mahusiano yana zaid ya miaka 6. (haya mahusiano hayakua straight mana kuna muda nlikua nahama mkoa hata miaka mi2, tena narudi tunaendeleza mahusiano). Kimuonekano mm sio handsome. Nina sura ya...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimuoe huyu binti au nisikilize ushauri wa Wazazi wangu?

    Habari zenu Wana JamiiForums?. Mimi nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja Kwa miezi kumi sasa. Dada huyo ni mama WA MTOTO mmoja WA miaka mitano, jamaa aliyezaa naye walisha achana siku nyingi, na Kwa SASA ana familia yake, ila wanalea tu mtoto. Sasa Kwa BAHATI MBAYA au NZURI huyo dada ana...
  6. JamiiForums Tanzania Mshangazi wa 1997 ananisumbua anataka nimuoe

    Kweli biblia haiwezi kudanganya hata kidogo, lile andiko la wanawake 10 watamzingira mwanaume mmoja na kumwambia tuoe utufichie aibu zetu kama linatimia hivi. Kuna mshangazi mmoja naona ameona jioooni imeanza kuingia, basi anachofanya ni kulazimisha tu ndoa, just imagine ni rafiki yangu sio...
  7. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu sild hataki kunipa mpaka nimuoe kwa ndoa!

    Wakulungwa nimedate na binti mmoja ambaye ni bikra kwa miezi mitatu na nimempenda sana niko tayari kumuoa hata leo ila tangu nimedate nae hataki kunifungulia mlango nipite kwasababu anadai siku atanifungulia mlango ni baada ya ndoa yetu na anataka ndoa ifanyike 2025 Nimekaa chini nimefikiria...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kuna Mdada aged around 25, usiku huu simjui hanijui, kaning'aninia nimuoe

    Wadada, msijirahisishe hivyo Kuna Mdada aged around 25, usiku huu simjui hanijui, kaning'aninia nimuoe ni mmarangu ana watoto wawili, Anataka nimuoe tu, Nimechukua namba zake Ila mpaka muda huu namfikiria, maana nimemwambia Nina mke anasema yupo tayari hivyo hivyo,nimekutana nae barabarani...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ameniambia niende gym nitengeneze mwili ili nimuoe

    Kwema wakuu? Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu. Na kwawakati uo tulikua nimarafiki yaani best friends. Nilikuwa nalipa transport bills zake, kodi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…