nime

New Interfaces for Musical Expression, also known as NIME, is an international conference dedicated to scientific research on the development of new technologies and their role in musical expression and artistic performance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kuna huu wimbo nime video screen shot anaeujua please

    Nimeweka kavidio kadogo
  2. JamiiForums Tanzania Dunia hii siwezi danganywa jambo nimeyapata maarifa sana kwa njia nyingi sana

    Wanaume Wengi ni wazembe wa kujitaftia maarifa ila ukitaka kuweka confidence na kuweka ego au aura ! 1. Soma sana makala , vitabu na majarida ya topic kadhaa hii ni tabia yangu toka shule Mpaka nikaitwa encyclopedia ya shule (Britanicca) dawati langu lilijulikana hata kwenye hoja za kikanda na...
  3. JamiiForums Tanzania Nimethibitisha ukikaa mbali na dhambi, unapata mafanikio maishani.....

    Maneno haya nayasema nikiwa na confidence kwa maana yake nimeyafanyia utafiti kwa miongo kadhaa. Nilichukua sample za watu tofauti nikiwemo mimi mwenyewe( kimsingi nilisha wahi kuishi maisha ya kihuni na matokeo yake nikayaona). Lakini baada ya kuamua kubadilika na kuishi kiungwana pia matokeo...
  4. JamiiForums Tanzania Walahi nime mblock yule mwanamke

    Nilikuwa namheshimu sana hasa kwa ushauri wake wa mambo ya fedha na uwekezaji. Kiumri anaweza kuwa kama binti yangu, LAKINI Kwa ule upuuzi na ile sumu aliyoisambaza kwa wanawake wenzie,,,waaalaaahi bilaahi nimemdilitia mbaali na kumblock kila pahala. Chap kwa haraka nafasi yake nimemuweka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…