nijuze

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The humble Man

    samaki Aina ya GOGO

    Kama unafahamu samaki aina ya GOGO, tafadhali nijulishe Jina lake lingine ni lipi, anapatikana wapi kwa mwambao wa ziwa Victoria, kama una picha itasaidia zaidi.
  2. 888I

    Kipindi Cha Nijuze Radio Show at Orkonerei Fm Radio

    Tumewasikiliza vijana wa Mirerani kuhusu huduma rafiki za afya ya uzazi, na tumepata maoni ya wanakijiji wa Naisinyai kuhusu ushiriki wa watu wenye ulemavu kwenye uongozi na mikutano ya maamuzi. Kupitia kipindi cha #Nijuze, sauti zao zimepata nafasi ya kusikika na viongozi wametoa ahadi ya...
  3. 888I

    Simanjiro: Wananchi kijiji cha Loswaki wafanya mdahalo kuhusu kilimo cha umwagiliaji na kujikwamua kiuchumi

    Tumefanya mdahalo wa kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu kilimo cha umwagiliaji kama njia ya kujikwamua kiuchumi. Akina mama walioshiriki walitoa ushuhuda wa jinsi kilimo hiki kimewasaidia kuboresha maisha yao na kuleta mabadiliko ya kijamii. Kupitia vipindi kama Nijuze, tunaendelea...
Back
Top Bottom