ni chakula gani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi Wenzangu huwa mnakula vyakula Gani?

    Mwenzenu maisha ni kama yananichanganya maana suala la mlo limekuwa kizungumkuti. Najikuta mzunguko wa chakula changu ni ule ule - wali, samaki, maharage - Ugali, samaki, dagaa, vegetables, Viazi Kiasi kwamba nimefikia hatua naghairisha kula kwasababu sioni kipya Cha kupika au kupikiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ni chakula gani ungekula kila siku bila kuchoka?

    Mdau, kila mtu ana chakula anachokipenda sana. Kwa mfano, mimi naweza kula kande kila siku bila kuchoka. Wewe je?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…