nguvu ya mungu

"Ee Mungu Nguvu Yetu" (English: "O God of all Creation", lit. '"O God, our strength"') is the national anthem of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. mwehu ndama

    PostGE2025 Innocent Bashungwa, usipotubu utaijua nguvu ya karma hivi karibuni

    Wew si ndie ulikuwa waziri wa mambo ya ndani, uliekua na dhamana juu ya ulinzi wa wananchi na utendaji kazi wa vyombo vya usalama nchini?? Sasa najua unajua mengi kuliko MTanganyika yeyote yule juu ya yaliyotukia 29 October !! Hivyo basi kujua kwako mengi kumekuweka katika hatari kubwa .Na...
  2. Samson Ernest

    Usitegemee nguvu za Kidini, Kijeshi, Kisiasa, Au Kibinadamu zikusaidie Mambo ya Kiroho

    Yer 46:11 SUV [11] Panda uende Gileadi, ukatwae zeri, Ee binti, bikira wa Misri; unatumia dawa nyingi bure tu; hupati kupona kamwe. Hukumu hii ilikuwa kwa Misri, nikimwanisha andiko hili linaonyesha hukumu dhidi ya Misri, taifa hili lilikuwa linajivunia nguvu zake za kijeshi na kisiasa. Hii...
  3. Mganguzi

    Kiongozi anaeteuliwa na Mungu ni yule anaeingia ikulu kwa kura halali ! Kiongozi anaeingia madarakani kwa kura za wizi huyo hakuteuliwa na Mungu !

    Ipo tofauti kati ya wateule wa mungu na wateule wa shetani ibilisi Lucifer mkuu wa Giza ! Wateule wa mungu huingia madarakani kwa kura halali hawakuibia haki ya mtu Wala hawakunyang'anya kura ya mtu !! Chama Cha siasa kilichopewa kibali na Mungu hakiibi Wala kuumiza raia ili kupata haki ya...
Back
Top Bottom