ngiri

The Ngondi–Ngiri languages are a clade of Bantu languages. The Ngondi languages are coded Zone C.10 (Ngondi) in Guthrie's classification. According to Nurse & Philippson (2003), they form a valid node with the Ngiri language(s) of C.30:

Ngondi (C.10): Aka (Yaka, Benzele) – Ngando (incl. Kota), Bole (Dibole), Ngondi, Pande (incl. Gongo), Mbati, Bomitaba–Enyele–Bondongo–Mbonzo, Bongili, Bala (Lobala), Bomboli–Bozaba; (C.30) Ngiri (Loi, Likila)–Mabale–Ndobo–Litoka–Balobo–Enga

View More On Wikipedia.org
  1. Mhaya

    Magufuli anafariki Mashariki, Traore anaibuka Magharibi. Burkina Faso inapepea mwendo wa Ngiri mkia juu

    Upande wa mashariki mwa Afrika nchini Tanzania. Hayati John Pombe Magufuli aliupiga mwingi sana enzi za utawala wake kiasi kwamba uchumi ulipanda mpaka uchumi wa kati kabla ya kurudi kwenye uchumi wa chini katika utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan. Magufuli alileta Elimu bure jambo lilionekana...
  2. Genesis_2030

    📍 Je ngiri maji ni nini (Hydrocel)

    🩺 Elimu ya Afya Leo: Hydrocele (Ngiri ya Maji) 📍 Imeandaliwa na: Hillary Francis Ndeng’aso Radiology Technologist (Mtaalamu wa Mionzi) | Health Educator (Muelimishaji wa Afya) | Genesis Project. 📲 IG: @hillary_officialtz 🔍 Hydrocele ni nini? Hydrocele ni hali ambapo maji hukusanyika kwenye...
  3. GENTAMYCINE

    Kumekucha.....na najua sasa hivi Mwamposa na Mwacha huko waliko meno yote Kicheko tu kama Ngiri, kwani Masalia ya Gwajima yatahamia Kwao

    Serikali imetangaza kulifutia usajili Kanisa la Ufufuo na Uzima, linalomilikiwa na Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, ikiwa ni siku moja tangu kiongozi huyo wa kiroho atangaze msimamo wake wa kuendelea kukemea vitendo vya utekaji na watu kupotea. Chanzo: mwananchi_official Gwajima kama...
  4. incredible terminator

    Ngiri ni kiumbe mwenye matukio ya hovyo kushinda wanyama wote wa porini inawezekana akawa ndio comedian wa mstuni.

    Habari wakuu, Mwezi huu Nimekuwa nikikutana na mfurulizo wa video za wanyama zinanazowaonesha Ngiri na aina yao ya maisha pamoja na matukio wanayofanya huko mwituni kusema kweli viumbe hawa wanachekesha sana, kila aina ya tukio linalomhusisha Ngiri lazima likuvunje mbavu tu ukiliangalia...
  5. P

    Ugonjwa wa Ngiri

    Jifunze kuhusu ugonjwa wa ngiri,aina,na matibabu yake. •kuna magonjwa ya hernia ya aina nyingi kama zile ziitwazo kitaalamu inguinal, umbilical, femoral, epigastric, incisional, inguinal hernia na diaphragmatic hernia. Lakini watu wengi hukumbwa na hernia iitwayo inguinal hernia ambayo hutokeza...
  6. Bridger

    SI KWELI Maji ya madafu yanasababisha ugonjwa wa Mabusha

    Inaaminika kuwa ugonjwa wa mabusha husababishwa na unywaji wa maji ya madafu. Madai haya hupata mashiko makubwa zaidi kwa kuwa tatizo hili huwapata wanaume wengi wanaoishi Mwambao wa Pwani ya Bahari ya Hindi, ambako madafu hupatikana kwa wingi. Madai haya yana ukweli kiasi gani?
  7. Mpakwa Mafuta wa Bwana

    Kwanini video za ngiri zimekuwa maarufu sana mtandaoni?

    Mimi Bibi Yenu, licha ya kuwa pensioner lakini najihangaisha kwa KAZI za mikono na talanta alizonipa Maanani. Bidhaa zangu nauzia mtanfaoni, hivyo huwa nabahatika kukutana na vimbwanga vya huko. Ila nimegundua ngiri kwa sasa amekuwa maarufu sana, katika video kumi huenda tatu ni za ngiri, nini...
Back
Top Bottom