Prime Minister Benjamin Netanyahu will give a televised statement tonight at 8:30, followed by a virtual press conference with foreign reporters, his office says.
This will be the second virtual press conference Netanyahu has given since the war began 20 days ago
Kama wanaweza ku-hit target zilizoko katika mataifa jirani ya kiarabu kama Airport ya Dubai, n.k, wanashindwa nini kumlq kichwa Netanyau alieua kiongozi wao?
Sikumpenda Ayatollah kwa ukatili wake, lakini pia siipendi zaidi US na Israeli kwa mauji na uonevu kisa tu masilahi yao ya kiuchumi huku...
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, asubuhi ya leo september 24, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben-Gurion, kabla ya kuondoka kuelekea Marekani kwa ziara ya kidiplomasia, ambapo atahutubia Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kukutana na Rais wa Marekani Donald Trump:
"Sasa ninaondoka...
Ofisi ya Waziri Mkuu ilisema vita vinaweza kumalizika mara moja ikiwa masharti matano yatatimizwa -. kuachiliwa kwa mateka wote; kupokonywa silaha kwa Hamas; kuondolewa kijeshi kwa Ukanda wa Gaza; udhibiti wa usalama wa Israel huko Gaza; na "kuanzishwa kwa utawala mbadala wa...
Prime Minister Benjamin Netanyahu will convene his security cabinet at 6 p.m. Thursday at his office in Jerusalem, according to the Prime Minister’s Office, where it is expected to approve fresh plans for the continuation of the war in Gaza.
During a three-hour security discussion among a...
Inaripoti kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, mwenye umri wa miaka 75, ameathiriwa na food poisoning (sumu ya chakula) na kupata intestinal inflammation (uvimbe wa utumbo) pamoja na upungufu wa maji mwilini (dehydration).
Ameanza kupatiwa matone ya maji moja-for-one (IV fluids) na atapumzika...
moja ya viongozi wakuu wa kidini nchini Iran 🇮🇷 Ayatollah Makarem Shirazi, ametoa wito kwa waislam kote Duniani, kuwaua Donald Trump na Benjamin Netanyahu, akiwaita viongozi hao kuwa ni “maadui wa Mungu
===
Kiongozi Mkuu wa Kidini wa Iran Atoa Fatwa Dhidi ya Rais wa Marekani Donald Trump na...
Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua kuwapata watu wenye uzoefu kama hawa itachukua mda sana
Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia hii ni achievement kubwa sana fahamu kuwapata watu kama hawa itachukua mda mrefu sana
Hii inakupa...
Wadau hamjamboni Britain has “grave concerns” over Iran’s nuclear program and believes Israel has the right to self-defense, Prime Minister Keir Starmer told his Israeli counterpart Benjamin Netanyahu on Friday, Starmer’s spokesperson says.
“The prime minister was clear that Israel has a right...
Wadau hamjamboni nyote. Advertisement
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema katika taarifa ya video kuwa agizo la kuangamiza mpango wa nyuklia wa Iran lilitolewa mwezi Novemba 2024, na ameahidi kutoa taarifa za video kila siku pale itakapowezekana.
"Agizo hilo lilitolewa muda...
Wadau hamjamboni nyote/. Hakiki ni Raha kubwa kwangu kujua kuwa Mwamba wa ukweli Benjamin Netanyau yuhai kabisa. Yes indeed he's very much alive. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu is set to speak to US President Donald Trump later today, according to an Israeli official.
Netanyahu...
Wadau hamjamboni nyote?
Maelfu ya Waafghani wameandamana katika maeneo mbalimbali ya nchi kupinga mashambulizi ya Israel dhidi ya Hamas huko Gaza, wakijibu wito wa kitaifa uliotolewa na mamlaka ya Taliban.
Umati mkubwa wa watu umekusanyika katika miji kadhaa baada ya sala, wakiwa...
Wadau hamjamboni nyote?
"Tuko tayari," Netanyahu alisema Jumapili. "Hamas itaweka chini silaha zake. Viongozi wake wataruhusiwa kuondoka [Gaza]. Tutasimamia usalama wa jumla katika Ukanda wa Gaza, na kuwezesha utekelezaji wa mpango wa Trump, mpango wa uhamiaji wa hiari.
"Huo ndio mpango...
Wadau hamjamboni nyote
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau amewasili nchini Marekani na atakuwa na kikao kizito sana na Rais Trump
Mungu ibariki Israel
Netanyahu lands in Washington, to discuss hostage deal extension with Trump
By AMICHAI STEIN FEBRUARY 2, 2025 22:42Updated: FEBRUARY 3...
Kwa kweli inaumiza sana. Tukiangalia Gaza na Palestine. Kumevurugwa hasa...siyo kipole pole. Amevuruga Hamas na amewatandika Hizbullah kiasi cha kutia aibu. Inaniuma sina raha. Nliposikia ana umwa nikamshukuru Mnyaazi. Jamaa likaondoka Hosp kabla halijapona ili likaendeleze kichapo.
Yule si...
Wadau hamjamboni nyote?
Mwamba amedai Oktoba 20 atakuwepo Washington DC kushuhudia mwamba mwenzake Donald Trump akila kiapo kuongoza taifa kubwa zaidi duniani
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
January 1, 2025
Netanyahu still planning to attend Trump’s inauguration, despite surgery
By...
Nimeangalia Al Jazeera
Aisee Huyu Mwamba Wamwache Tu Amalize Alichopanga
Kifupi Hana Hata Mpango WA Kuacha Mauwaji Ya Gaza Leo Wala Keshooo
Mns Anahitaji Kizazi Kipya Gaza Hawa Waliopo Waishe Wotee
Iran’s Khamenei says death sentence should be issued for Netanyahu, not arrest warrant
A handout picture provided by the office of Iran's supreme leader Ayatollah Ali Khamenei shows him addressing the crowd during a meeting with members of the Basij paramilitary force in Tehran on November 25...
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel
Incoming Senate
majority leader threatens ICC with sanctions over case against Israelis
Senator John Thune warns US will impose restrictions on International Criminal Court if it moves ahead with arrest warrant requests against...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.