Wakuu haya mambo yamekithiri sana, hii tuitaje
Jamaa anamnyanyasa mke wake, mwanamke anaishi kama yupo jela na kila akiitaka kurudi nyumbani mama yake anamzuia asiachane na mshikaji
Mama anafaidi kwasababu mkwe wake ana hela lakini binti yake anapata mateso
Wazazi ndoa ni za watoto na sio...
Fungukeni Kama Vase za Dizasta vina, Wengi Wamepita Wanalia na kutovumilia na kuachana na Wenza wao . Tumeona Wasanii Mbali mbali wameachana na Wake zao Kama Alikiba,Omydimpoz,Nay wa Mitego nk
Katika Mapenzi Wakati Mwingine Gharama za Maumivu ya Mtu Mwingine ndio Gharama za Furaha kwa Mtu au Watu Wengine...Sikia!
Elie Taktouk, ambaye Ni Milionea Mwenye Asili ya Lebanon alifunga Ndoa na Mwanamitindo Mlimbwende Mwenye Asili ya Lebanon pia Mwanamama Daniella Semaan,Mrembo Kweli kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.