ndaro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Makonda: Ndaro anaingiza milioni 17 kwa mwezi, kaajiri vijana 20

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda amesema Serikali ipo kwaajili ya kuwawezesha Vijana wenye ndoto yakuwa mamilionea kupitia maudhui ya kazi zao huku akimtaja mchekeshaji na mtengeneza maudhui kupitia mitandao ya Kijamii Ndaro kuingiza milioni 17 na kutoa fursa za ajira...
  2. loose Nut

    Yani Ndaro ametushinda sisi wabeba box? Nimeamua na mimi kuanzisha channel yangu

    Dah Ndaro mchekeshaji maarufu Tanzania hasa kwenye mitandao ya kijamii kavuta ndinga kali Audi Q 6 yenye thamani ya shiingi million karibia 60. Na hii ni ndinga yake ya pili. Watu bongo wanapiga hela ndefu hata kuliko sisi wabeba box. Million 60 siyo mchezo kibongobongo kwa gari tu. Hii...
  3. Just Pray

    Ndaro: Wasanii tulichowakosea ni nini? anaejua kosa langu aseme tumewakosea nini

    Baada ya lawama nyingi kutoka kwa wananchi zikiwalenga wasanii na watu maarufu kwa kutosimama na raia wanapopambania utawala wa haki badala yake wasanii wamekuwa upande wa watawala na kudidimiza juhudi za raia. Kuanzia Oktoba 29 yamefanyika mauaji makubwa ya raia lakini cha kushangaza wasanii...
  4. Valencia_UPV

    Ndaro unafosi fani, huna kipaji

    Awali nitambue kipaji cha Braza K toka Kigoma, 1. Ndaro hana kipaji zaidi ya kufosi. Na hivi hamna shule mule basi unaboa Tu. 2. Hapa kati tena umejichanganya kwa kurumbembe ndo limekupoteza Mazima. 3. Rudi Kigoma tulime michikichi (mawese).
  5. Hance Mtanashati

    Tunda na Ndaro hawaendani hata kidogo, Tunda hajui thamani yake

    Mpaka sasa sijaamini na sitaki kuamini kama mrembo Tunda ana date na Ndaro. Ikiwa kama kweli wana date, basi hii ndio couple mbaya zaidi kuwahi kutokea kwa watu maarufu hapa bongo. Kwangu mimi, hii couple aisee hapana haivutii hata kidogo Ila tusemeni tu ukweli, Tunda hajui thamani ya uzuri...
Back
Top Bottom