Wakuu Balozi Nchimbi yuko wapi?
Mbona kama hili sakata la tumbo joto kuhusu Serikali na hizi report za kimataifa kuhusu haya mauaji mbona kama Nchimbi havimuhusu hivi. Wako sawa huko ndani kweli? Alie karibu na Nchimbi huko anisaidie kumsalimia
Kumekuwepo na Kipande cha Video kinacho sambaa kwenye Mtandao wa Facebook kikimuonesha Nchimbi akisema Samia Must Go huku akieleza kuwa Dhamira ni Kupinga Masuala ya Utekaji Nchini Tanzania.
Je video hiyo ina Ukweli kiasi gani.
Wakuu,
Mwaka 2017 Dkt. Nchimbi alipewa onyo kali huku wanachama wengine wakivuliwa uachama kutokana na utovu wa nidhamu kwenye chama baada ya kumkataa Magufuli na kumsapoti Lowasa kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 - Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.