nchi za magharibi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X

    Kwanini China haiingilii kati kusaidia mataifa mengine yanapovamiwa na nchi za Magharibi?

    Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu China kutoingilia kati pale mataifa ambayo yamekuwa na uhusiano wa karibu na China yanapovamiwa. Wengine wamefikia hatua ya kusema China ni waoga na sio wa kuwaamini. Gumzo lilianza Marekani na washirika wake walipovamia Syria na Iran na sasa...
  2. J

    Wakati Nchi za Magharibi wakijiandaa na Christmas, Masheikh wa huko waamua kuivuruga

    Uislamu umevamiwa na Maislamists ambayo yanaongozwa na Katiba na Mikakati ya Muslim Brotherhood (MB). Hawa jamaa hawana interest ya kuwafikisha waislamu Ahera, bali wao interest yao ni Islamic Conquest ya Jamii nyingine ambazo si za Kiislamu. Aidha, hatima ya yote wanataka kusimamisha Dola ya...
  3. GE2025 Je, rais mteule Samia Hassan akishaapishwa amejipanga vipi kuongea na mabalozi wa nchi za magharibi ambao aliwakatia mawasiliano Jumatano iliyopita?

    Kama tunavyofahamu jumatano ilopita kulikuwa na patashika khasa baada ya internet kuzimwa nchi nzima kupisha kazi ya Mafwele na vikosi vya mamluki kuwasaka, kuwatambua na kuwakamata kisha kuwatesa na kuwaua vijana wadogo. Haya kama hayatakuwa mauaji ya halaiki ni lazima yawe documented kwa...
  4. Nchi za Magharibi zinaongoza kwa rushwa duniani

    Ukichunguza vizuri nchi hizi utaona ndiyo vinara wa rushwa duniani. Rushwa zao wamezifichaficha na kuzihalalisha kwenye makaratasi. US wanapeana rushwa kubwa kubwa wanazoita lobbying. Unakuta wafanyakazi wengi wa serikali wakistaafu wanaenda kupata kazi nono kwenye makampuni yaliyokuwa...
  5. S

    Bobi Wine ashutumu nchi za magharibi kwa kutokemea matendo ya serikali ya Uganda

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine, ameshutumu nchi za Magharibi kwa kutokemea ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na serikali ya Yoweri Museveni. Bobi Wine amedai baadhi ya viongozi wa mataifa ya Magharibi "wanahusika" na mateso wanayokutana nayo waganda kwa kuwa wanajali...
  6. I

    Serikali mpya ya Syria inajipanga kurejesha mahusiano na nchi za magharibi huku ikiipa Iran mkono wa kwaheri

    Ufaransa yarejesha bendera katika ubalozi wa Damascus huku mamlaka mpya ya Syria ikijenga mawasiliano na nchi za Magharibi. Ufaransa ilipandisha bendera yake katika ubalozi wake wa Damascus siku ya Jumanne kwa mara ya kwanza baada ya miaka 12 na maafisa wa Umoja wa Ulaya walijitayarisha...
  7. Tofauti na Iran na vibaraka wake, tishio kubwa katika nchi za magharibi ni mrengwa wa kushoto (liberals, far lefts and woke culture)

    Wanatengeneza kansa katika jamii zao kwa ajili tu ya kuwafurahisha wahamiaji holela, LGBTQ, Feminists, Anti-Christs, #freepalestine (utapeli) , etc Kama ilivyo sera yao ya uhuru na Hatua za bila mipaka itapelekea msingi wa familia kuharibika, jeshi kuwa dhaifu kutokana na influence ya upinde...
  8. X

    Kiteknolojia China iko sawa na nchi za Marekani na Ulaya

    "Kusema ukweli, ni kwamba watu ambao hawaendi China mara nyingi hufikiria kuwa wako nyuma, lakini unapoenda huko unavutiwa na wanachofanya katika teknolojia." –Brad Smith (Raisi wa Microsoft) Nchi za Magharibi hazipaswi kudhani kuwa China iko nyuma ya Marekani na Ulaya kwenye maendeleo ya...
  9. L

    Nchi za magharibi zaendelea kuchochea msukosuko wa madeni, licha ya ushahidi wote kuonyesha wao ni chanzo kikuu cha msukosuko huo

    Hivi karibuni kiongozi wa Kanisa la Katoliki Papa Francis alihutubia mkutano wa Vatican kuhusu Msukosuko wa Madeni katika eneo la Kusini mwa Dunia", kwenye hotuba yake Papa alikemea vikali changamoto zinazotokana na msukosuko huo, hasa kusababisha taabu na dhiki, na kuwanyima mamilioni ya watu...
  10. L

    China na Afrika ni washirika wanaohitajiana na sio wa kunyonyana kama zilivyofanya nchi za magharibi

    China na nchi za Afrika zinaendelea kufurahia ushirikiano na urafiki wao wa kudumu ambao uliwekewa jiwe la msingi na mwasisi wa China Mwenyekiti Mao Zedong na viongozi wengine waasisi wa Afrika. Katika kipindi chote cha zaidi ya miongo sita China na Afrika siku zote zimekuwa zikiheshimiana...
  11. Jinsi nchi za Magharibi zinavyohujumu miradi inayofanywa na Wachina barani Afrika

    Mradi wa ujenzi wa Bandari kubwa ya Bagamoyo ilikuwa uwe moja ya flagship kubwa sana ya Belt and Road ya Wachina hapa Africa. Lakini kwa sababu amabzo hazieleweki hadi leo bandari haikujengwa ingawa serikali ilishaingia harasa kullipa watu fidia. Kwenye video fupi hapa chini jamaa anaelezea...
  12. Hivi ndivyo Magharibi itavyopotea. Sio pigo la risasi wala nyuklia, bali ni hivi vifuatavyo

    Feminism: Uzaaji wa watoto wachache: Sera ya uhamiaji holela: Kuruhusu, kupokea na kuzifanyia kazi ideologies za jamii nyingine angali jamii hizo zinapinga ideologies za west: Ideology ya Mrengo wa Kushoto:
  13. Huu ndo Ushahidi wa Nchi za Magharibi zinavyotusaidia. Anayewatukana na kuwasimanga muonee huruma sana!

    Kwa kifupi Nchi za Magharibi zinatusaidia kuanzia miradi ya Afya ikiwemo kupambana na magonjwa kama Ukimwi, Kifua kikuu, utapia mlo na mingine mingi. Zinatusaidia Kuokoa uhai wa Mama wajawazito na watoto kwa kutoa fedha nyingi sana tunazotumia kuboresha hospitali zetu! Nchi hizi zinatusaidia...
  14. Nchi za magharibi haziamini tena juu ya Free Market?

    Ni rahisi sana kuhubiri kuhusu free market (Biashara Huria) iwapo upo kwenye advantage. Lakini ukiwa unajitafuta biashara huria ni ugonjwa mbaya sana. Nchi za magharibi zimehubiri sana kuhusu biashara huria. Watu wafanye biashara na bidhaa zizunguke duniani bila vikwazo. Ikafika hadi nchi...
  15. Nchi za Magharibi zapotosha ukweli wa ushirikiano wa China na Afrika katika sekta ya maliasili

    Bibi Jacquie anaishi katika kijiji cha Mayeba kilichoko misituni kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ingawa kijiji hicho kiko karibu na migodi maarufu ya KFM na TFM, ambayo ina madini ya Shaba na Cobalti yenye thamani kubwa, lakini wanakijiji walikuwa wanaishi maisha magumu...
  16. L

    Hoja ya “China inamwaga pesa kwa Afrika” yanaonesha wivu wa nchi za magharibi

    Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika ulimalizika mjini Beijing wiki iliyopita, ambapo wakuu zaidi ya 50 wa nchi au serikali za Afrika walihudhuria mkutano huo, na kuonyesha kuwa nchi za Afrika zinaupa umuhimu mkubwa mkutano huo na matarajio makubwa ya kuendeleza...
  17. X

    Special thread: Mgogoro kati ya Urusi na NATO

    Uzi huu unaangazia kile kinachoendelea kuhusu mgogoro ulioibuka sasa wa NATO na Russia katika vita vya Ukraine. Ikumbukwe kuwa katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg, alitaka silaha za misaada kwa Ukraine sasa zianze kutumika kushambulia moja kwa moja ndani ya mipaka ya Russia hasa miltary...
  18. S

    Mafanikio ya Mataifa ya China, Urusi na Iran ndio chanzo cha mivutano ya kisiasa baina ya nchi za Magharibi

    Hivi karibuni tumeshuhudia kiasi kikubwa cha fedha kutoka taifa la kubwa la marekani kuzisaidia nchi za Ukraine, Israel na Taiwan, lakini kwa kuangalia kwa jicho lingine ni kama ili kudili vizuri na na hawa new rising power wanatengenezewa kwa makusudi migogoro ya kisiasa na nchi ambazo ni...
  19. Kagame nafsi yamsuta kwa anachokifanya Congo! Awatupia mpira nchi za Magharibi na Mashariki ya Kati

    Kufuatia Tuhuma za Genocide nchini DRC kwa ajili ya kuiba madini Sasa KAGAME akili wazi kua madini yanapitia kwake nchini Rwanda yakiibiwa. Sikiliza hapa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…