Kama channel za movie ni chache Sana, Cinema zetu yenyewe kuna kipindi ilikua nzuri walikua wanaweka single movie nzuri kuanzia asubuhi Hadi usiku, usiku ndio walikua wanaweka tamthilia za Kiswahili, lakini sasahivi ni kutwa nzima wanaweka tamthilia ambayo nzuri ni moja tuu.
Ukitoa Mpira wa...
Kwa mwenendo wa ligi kuu ya benki ya nbc unavyoondelea bila shaka kila mmoja ameona , na anaweza kuona kuwa bingwa tayari anajulikana.
Ni hivi kabla ya derby simba atakuwa na point 78 na yanga atakuwa na point 79 hivyo mshindi ataamuliwa na mechi derby , ambayo pia mechi hiyo itaamuliwa na...
Hello!
Bila kupoteza muda.
Bingwa wa CAF CHAMPION LEAGUE atakua Pyramids FC baada ya kumshinda Al Ahly kwenye fainali.
Bingwa wa CAF Confederation cup atakuwa RS BERKANE baada ya kumpiga Gori zaidi ya 2 SIMBA SC kwenye uwanja wake wa nyumbani kule Morocco. Kwa maana hiyo Simba SC atacheza...
Ehhh wakuu,
Kuna hatari inakuja, kuna mapinduzi yanakuja.
Kwa ambao hamjui maana ya falsafa ya Yanga maarufu kama gusa achia twende kwao ni kwamba,
Mchezaji hatakiwi kukaa na mpira zaidi ya sekunde kumi, yaani ukipewa pasi unatoa pasi unayempa pasi naye anatoa pasi, hakuna ruksa kuleta mbwe...
Timu dhaifu za mikoani msimu huu ni zile zinazocheza kimazoea mfano Namungo, coastal na Kagera Sugar.
Timu kama
Mashujaa Fc
Pamba
Prison
Jkt
Singida black stars
Fountain gate
Tabora Fc
Hizi timu kwa sasa kwa observations zangu baada ya kucheza mechi kadhaa zimeingia kwenye mfuno mapema...
KMC FC wakiwa katika dimba lao la nyumbani wamekubali kuvutwa shati na Coastal Union ya Tanga kwa kutoka sare ya 1-1.
Timu zote hizi mbili ni mchezo wao wa kwanza katika msimu huu wa 2024/2025 wa ligi kuu ya NBC. Goli la KMC limefungwa na Ibrahim Elias…. Dakika 32, goli la Coasta Union...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.