nbc

The National Broadcasting Company (NBC) is an American English-language commercial broadcast television and radio network owned by Comcast. The network is headquartered at 30 Rockefeller Plaza in New York City, with additional major offices near Los Angeles (at 10 Universal City Plaza), and Chicago (at the NBC Tower). NBC is one of the Big Three television networks, and is sometimes referred to as the "Peacock Network", in reference to its stylized peacock logo, introduced in 1956 to promote the company's innovations in early color broadcasting; it became the network's official emblem in 1979.
Founded in 1926 by the Radio Corporation of America (RCA), NBC is the oldest major broadcast network in the United States. At that time, the parent company of RCA was General Electric (GE). In 1932, GE was forced to sell RCA and NBC as a result of antitrust charges. In 1986, control of NBC passed back to General Electric (GE) through its $6.4 billion purchase of RCA. GE immediately began to liquidate RCA's various divisions, but retained NBC. After the acquisition by GE, Bob Wright became chief executive officer of NBC; he would remain in that position until his retirement in 2007, when he was succeeded by Jeff Zucker.
In 2003, French media company Vivendi merged its entertainment assets with GE, forming NBC Universal. Comcast purchased a controlling interest in the company in 2011, and acquired General Electric's remaining stake in 2013. Following the Comcast merger, Zucker left NBCUniversal and was replaced as CEO by Comcast executive Steve Burke.
NBC has thirteen owned-and-operated stations and nearly 200 affiliates throughout the United States and its territories, some of which are also available in Canada and/or Mexico via pay-television providers or in border areas over the air; NBC also maintains brand licensing agreements for international channels in South Korea and Germany.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania NBC Premier League: Upangaji wa matokeo (Referees & Betting)

    Kuna jambo nimeligundua kwenye ligi ya NBC. Marefa wanashirikiana na watu wanao bashiri kupanga matokeo.
  2. JamiiForums Tanzania Full Time: Azam FC 1 - 2 Young Africans SC | NBC Premier League | Azam Complex | 10-04-2025

    SIKU YA MECHI KALI. 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Azam Fc 🆚 Young Africans SC 📆 10.04.2025 🏟 Azam Complex 🕖 1:00 Jioni VIKOSI VINAVYOANZA LEO. Updates.... Dakika 11 Pacome anaipatia goli la kuongoza kwa Yanga Dakika 19 Pacome anatolewa nje kupata matibabu zaidi baada ya kuumizwa Dakika 34...
  3. JamiiForums Tanzania Full Time: Tabora United 0-3 Yanga | NBC PL | Ally Hassan Mwinyi stadiam | April 2, 2025

    Karibu katika mikiki ya NBC PL ambapo leo majira ya saa 10kamili jioni pale katika dimba la kumbukumbu ya Rais wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ally Hassain Mwinyi,wenyeji Tabora United watawakaribisha vigogo na vinara wa ligi Yanga kuzisaka alama tatu muhimu. Ikumbukwe...
  4. JamiiForums Tanzania Simba haijawahi kutwaa kombe la NBC wala CRDB tangu yaanzishwe

    Tangu kuanzishwa kwa Kombe la Ligi kuu bara chini ya udhamini wa NBC , muonekano wa makombe haya yameshabadilishwa mara kadhaa, Lakini katika mionekano yote 5imba haijawahi hata kujua uzito wa kombe mojawapo ukoje 😀 Mara zote makombe haya yameenda kwa wazee wa kutandaza soka safi na mabingwa wa...
  5. JamiiForums Tanzania Fei Toto awaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC

    Wakati huu Ligi ya NBC ikiwa katika mzunguko wa 23 Kiungo fundi wa Soka, Feisal Salum maarufu Fei Toto amewaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki na nyota wengine kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC akiwa ametoa pasi za mwisho za magoli (assists) 12 huku wanaomfuatia wakiwa na 7 Soma: Jean...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wote waandamizi wa BODI YA LIGI KUU YA NBC na TFF wanatakiwa kujiuzulu leo hii kwa kushindwa kusimamia hili sakata la mechi ya watani wa jadi

    Kwa hasira kali! Kwa pamoja wananchi na wapenda soka wa Tanzania wamesikitishwa na suala zima la kughairishwa kwa mechi ya watani wa jadi baina ya Yanga na Simba. Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wameonesha udhaifu mkubwa wa kusimamia hili sakata. Mbaya zaidi walitoa taarifa mapema kuwa mechi...
  7. JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Simba SC is a Tanzanian football club based in Dar es Salaam. Their home games are played at two stadiums Uhuru Stadium and National Stadium. Simba SC is one of two biggest football clubs in Tanzania, their archrivals being the Young Africans. The club had several names during its history, when...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi hawa makocha wa ligi yetu ya NBC mnawaelewa kweli. Kwanini wanaendekeza njaa zao na kudhalilisha taaluma zao za ukocha?

    Wewe ni kocha umesomea taaluma yako ya ukocha na ukapewa leseni ya ukocha unawezaje kupangiwa kikosi na kiongozi wa timu ambae hana uelewa wowote na taaluma ya coaching?!... Ifikie hatua haya malalamiko ya makocha kupangiwa timu na viongozi yafike mwisho Wewe ni kocha ukiona kiongozi...
  9. JamiiForums Tanzania Ratiba ya NBC PL iangaliwe upya

    Nimejaribu kuangalia ratiba ya NBC PL nimejikuta nabubujikwa na machozi kwa uchungu, mashujaa aliyecheza na Yanga kigoma amecheza Jana na Singida BS na kunyukwa bao tatu sufuri wakati huohuo Yanga yenyewe inacheza kesho, hapa imekaaje wakuu? Jambo hili limekuwa likijirudia Mara kwa Mara na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Dawa ya uonevu kwa timu ndogo za nbc ni kususia kuendelea na michezo iliyosalia

    Sio jambo la kificho tena, kuwa timu kubwa hapa nchini zinapendelewa na waamuzi waziwazi.. Timu ndogo zinafahamu hili, Mashabiki tunajua hili, Wachezaji na makocha wanajua hili, Media zote wanajua hili, TFF inalijua jambo hili, Malalamiko haya yamekuwepo miaka nenda rudi. Lakini kwa nyakati...
  11. JamiiForums Tanzania Leo tunamaliza malumbano kuhusu upangaji wa matokeo katika ligi ya NBC

    Yanga waliangalia ratiba ya ligi wakaona muda sahihi wa harusi ya Aziz Ki na Hamisa Mobetto ni huu ndiyo wakabariki hili zoezi zima linaloendelea. Wachezaji wa Yanga wamekuwa kwenye pilikapilika za shughuli za hii harusi zaidi ya wiki moja sasa ila cha ajabu wakiingia uwanjani wao ndiyo wana...
  12. JamiiForums Tanzania FT: KMC 2-0 Singida BS; KMC Complex, Ligi Kuu ya NBC

    FT KMC 2-0 Singida BS Ikumbukwe pia jana Azam alipigika kwa Pamba Jiji
  13. JamiiForums Tanzania FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | Meja Generali Isamuhyo stadium | Ligi kuu NBC | 10.2.2025

    Mabingwa wa muda wote wa ligi ya Tanzania Bara, Mabingwa watetezi wa ligi kuu msimu huu na vinara wa ligi YOUNG AFRICANS SC watashuka dimbani leo majira ya saa 10 za jioni ugenini kuwakabili JKT TANZANIA katika dimba la Meja Jenerali Isamhyo. Je, Yanga kuendelea kujichimbia kileleni wa...
  14. JamiiForums Tanzania Je mechi za ligi kuu ya NBC zinapangwa?

    Kuna harufu ya upangaji wa matokeo ligi kuu ya NBC Huyu aliwezaje kubet droo na kuweka peaa nyingi hivi?
  15. JamiiForums Tanzania Je, kocha wa Yanga anaweza kuwa kocha mkuu Ligi ya NBC? Ukweli huu hapa

    Mabosi wa Yanga walishtushwa na uamuzi wa ghafla wa kocha Sead Ramovic ambaye aliomba kuvunja mkataba wake kisha jana Jumanne, Februari 4, 2025 akawaaga wachezaji na maofisa wengine wa timu akiwatonya kuwa amepata ofa nono huko Algeria. Baada ya kuzungumza naye walibaini kuwa CR Belouizdad ya...
  16. JamiiForums Tanzania Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

    SIKU YA MECHI KALI. VIKOSI VINAVYOANZA LEO. p UPDATES..... 4:15pm Kandanda imeanza tayari, Game inapigwa zazuri kabisa. DK 2 Simba wanafanya move nzuri hapa, inababatizwa na Mchezaji wa FG inakuwa warusha. Unarushwa hauleti madhara yoyote 0-0 DK 4 Mpira unaendelea vizuri kabisa hapa. Simba...
  17. JamiiForums Tanzania FULL TIME: NBC PL | Young Africans 6-1 Ken Gold | KMC Complex | 05/02/2025

    Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold. Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na...
  18. JamiiForums Tanzania FT: Tabora Utd 0-3 Simba SC | NBC PL | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02 February 2025

    Ubaya Ubwela. Tabora United wakiwa dimba la nyumbani la kumbukumbu ya Ali Hassan Mwinyi watawaalika Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Ikumbukwe katkla mchezo wa kwanza Simba alimkung’uta Tabora 3-0, je Tabora watalipa kisasi? Tabora United wamehaidiwa Milioni 50 endapo watamfunga...
  19. JamiiForums Tanzania FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

    SIKU YA MECHI KALI. MCHEZO: Ligi Kuu Tz Bara NBC Premier League Mwenyeji : Tabora United Mgeni : Simba Sc Uwanja : Ali Hassan Mwinyi, Tabora Muda : Saa 10 Jioni. VIKOSI VYA LEO Game On 3' Tabora 0-0 Simba 6' Simba wanapata kona, inapigwa kona na Kibu, haileti madhara yoyote kwa nyuki 12'...
  20. J

    JamiiForums Tanzania NMB kutoka Benki ya Makabwela hadi Mlipa Kodi mkubwa namba 1 nchini, legacy ya hayati Mkapa na Mzee Mbowe

    NBC ilipogawanywa na Kuzaliwa Benki mbili NBC na NMB zilipigwa kelele nyingi Sana Lawama nyingi zikamwendea mtemi Chenge akiwa AG wakati huo Leo NMB Ndio inaongozwa kwa kulipa Kodi TRA Kongole kwao Ben Mkapa na George Mbowe, wapumzike kwa amani Ahsanteni sana 😄
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…