nauza

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nauza SmartTv aina ya TCL inch 32

    Habari zenu Wakuu, Nauza Tv ya TCL inch 32 SmartTv kwa 320,000 tu! Tv ni nzima na haijawahi kwenda kwa fundi. Napatikana Dar es Salaam. Mawasiliano 0626753305
  2. M

    JamiiForums Tanzania TYPE-C FLASH FOR SALE

    Nauza flash mpya zenye uwezo wa kuhamisha na kuhifadhi mafaili kutoka kwenye simu kwenda kwenye computer na kutoka kwenye computer kwenda kwenye simu karibuni zipo gb 4 @1000na gb 16 @12000
  3. JamiiForums Tanzania Nauza pochi kali, ofisi yangu ipo Kawe Ukwamani

    Wakuu kwema? Mzee wa machimbo leo chimbo mimi mwenyewe. Naweka mfululizo wa pochi kali ninazoleta kutoka china mimi mwenyewe Ofisi yangu iko kawe ukwamani. Frem mpya za Lugalo Mikoani utatumiwa kwa uaminifu mkubwa kabisa Mawasiliano: 0628731833/0778321833
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Nauza mabanda ya kuku makubwa sana

    Habari nauza mabanda hayo yako mawili ya kufugia yameisha kabisa na bado kuna kiwanja kimebaki kikubwa tu pembeni eneo lipo chanika mvuti mwisho sio mbali na barabara kabisa bei ni million6 kwa sehemu yote mawasiliano 0699361038
  5. JamiiForums Tanzania Sale sale: Jamani karibuni nauza Mtumba gauni 3500 tu na vishati 1500 tu sketi imebaki moja 2000 tu karibuni sale ya moto Mbezi Magufuli

    Kabla ya kufungua mzigo mpya nimeamua nifanye sale Jaman nauza gauni mtumba quality 3500 af tatu tu Sket imebak moja 2000 tu Vitop vishat 1500 tu Karibuni sana wasap or call 0625056158
  6. JamiiForums Tanzania Nauza kitabu hiki kwa sailing 500,000/- tu soft copy!

    Kina uwezo mkubwa kupindukia hasa kwa wale watu wa treasury finder Siri nyingi duniani zimefichwa kwenye vitabu, tusome vitabu.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine.

    Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine Laini za uwakala zote nne nauza kwa 300,000 Mashine ya selcom nauza kwa 200,000.(Inafanya kazi na ia hali nzuri) Laini zote zimesajiliwa kwa jina moja la biashara,hivyo ni rahis kwa wewe kwenda kuzibadilisha...
  8. JamiiForums Tanzania Nauza Ubuyu Mtamu sana kwa Bei ya Jumla na Rejareja

    Jipatie ubuyu mtamu sana wa kiarabu ambao unapata kwa ladha tofauti tofauti Ladha ya Vanilla Ladha ya Chocolate Ladha ya Pilipili Ni mtamu na hauchubui Mdomoni Call:0752228138 Jumla na Rejareja
  9. JamiiForums Tanzania Nauza Mbwa wadogo

    sio mimi wa kwangu ila mimi ninkama mtu wa kati tu kuna rasi mmoja anavyo anauza 20000 tu ila naye cha juu changu hapo tufanye 30000 GO AWAY. Nakutumia kutokea Mtwara wewe kazi yako kuwapokea dar tu ni wazuri sana mimi nimekachukua kamoja kadume bado sijakatungia jina. Any suggestions?
  10. JamiiForums Tanzania Nauza Mashine ya kukamua na kuchuja alizeti no 120

    Nauza Mashine ya kukamua na kuchuja alizeti no 120 ,umeme stree phrase, tani 6.5 per 24.bei 26,500,000 ,napatikana kwa namba 0713503753 tupo dar es salaam
  11. JamiiForums Tanzania Nauza iphone X 64gb

    Iphone X 64gb Face ipo Battery 100 Power button haifanyi kazi 0743586474
  12. JamiiForums Tanzania NAUZA ANDROID TV BOX YENYE IPTV ACCOUNT YENYE CHANNEL ZOTE ZA DSTV MOVIES NA SERIES

    ANDROID TV BOX YENYE IPTV ACC.. INA CHANNEL ZOTE ZA DSTV ZA MICHEZO, BURUDANI, HABARI, MUSIC.. SUPER SPORT ZOTE LIVE.. KAMA UNA INTERNET NYUMBANI AU OFISINI HAUNA HAJA YA DIKODA WALA MALIPO YA MWISHO WA MWEZI.. channel zaid ya 9000+ PIA KUNA MOVIE ZOTE NA SERIES ZOTE FULL HD MPAKA 4K RESOLUTION...
  13. JamiiForums Tanzania Nauza Magauni ya mtumba, jumla 2500 hadi 3000. Unapata gauni kali

    Hellow wapendwa nauza nguo za mtumba kali Magauni na tops kali pia. -Magauni jumla utapata kuanzia sh 2000, 2500 tu hadi 3000 guys vigauni vizuri mnoo ambayo ukienda kuuza unapata faida kama unataka kuanza biashara karibu Nauza magauni kwa reja reja pia kuanzia sh elfu 7000 hadi 15000...
  14. JamiiForums Tanzania Nauza freezer lita 300

    Nauza hii freezer ya West Point inagandisha barafu na umeme ukikata inaweza Kaa masaa 12, haina shida yoyote, inapatikana kijitonyama dar es salaam. Bei ni 300,000. Oven 80,000 Deep fryer 100,000
  15. E

    JamiiForums Tanzania Nauza Betri za sola zilizochoka

    Karibu mysol kampuni inayojihusisha na uuzaji wa Sola za mikopo karibu tunazo Sola watts 80,120,na 200 na tunauza kwa cash ama mkopo unatanguliza ela kidogo na unafungiwa vifaa vyako nyumbani pamoja na azamtv na kifurush Cha mwez mzima karibu tukuhudumie
  16. JamiiForums Tanzania Nauza mfumo wa gesi kwenye bajaj kwa bei kitonga 200k

    Habari wakuu, nauza mfumo wa gas kwenye bajaj bei ni laki mbili.. Ila bado una deni la laki Saba na hamsini utaenda kumalizia mkopo wako. Mazungumzo yapo Wahi sasa
  17. J

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza pete ya Tanzanite

    Habarini, wapendwa nilipata shida kidogo nilikuwa nataka kujua wapi naweza uza pete ya Tanzanite kwa Dar es salaam?
  18. JamiiForums Tanzania Nauza Powerbank ya Airtel 5g Router

    Inakaa masaa 8 ukiichaji full. Haijatumika sanaa maana muda wote router inatumika kwenye umeme.. Mara chache umeme ulipokatika ndio ilitumika. bei 20,000 0711707070
  19. JamiiForums Tanzania Nauza Airtel 5G SmartBox Router

    Nimetumia miezi miwili tu Iko full box Bei: 17,5000/- TZS nimenunua 270,000/- TZS +255676095799
  20. JamiiForums Tanzania Nauza Universal wifi router zinafanya kazi na laini ya mtandao wote Ule

    Hi Ni router za ukweli sana hauhitaji router ya kila kampuni insupport mtandao wowote ule online kama unapata si chini ya 200,000 hata kwenye soko la china.. Mimi nauza nusu bei yaani 120,000 pekee mpya kabisa kuanzia mbili kuna discount. Tupo Dar, Arusha na Nairobi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…