Habari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume.
Muonekano wangu ni mzur wa kawaida, urefu 155cm na mwili wangu wa wastani 50kg, ninajishughulisha na ufundi cherehani na...