natafuta marafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nodetz

    Natafuta marafiki waislamu

    Wakubwa najua haiwahusu ila jana nimebadili dini rasimi na kua mwisilamu so nahisi naitaji marafiki wapya wanao elewa uislamu pls kama uko tiyali njoo inbox
  2. Binti wa zamani

    Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

    Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu. Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja. Muhimu: Uwe na exposure Uwe open minded Uwe unajitegemea Ukiwa umeoa / umeolewa na...
Back
Top Bottom