nashukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nashukuru Mungu nimetimiza milion 200 yangu kwanza?

    Ilikua safari ndefu sana. Nakumbuka mwaka 2005 nilikua naiona kama ni ndoto kubwa .Hatimae leo imetimia . Watafutaji wote tusikate tamaa pesa zipo
  2. JamiiForums Tanzania Kula vizuri ndio kilevi changu, kwa hili nashukuru sana Mungu

    Situmii pombe, Situmii sigara. Situmii kitimoto Sio mtu wa wanawake Kilevi changu ni kula vizuri sana, mfano Leo weekend Nimepika nyaama ya mbuzi kilo Moja na ndizi za kukaanga nakupa taratibu. Hakika Sina kilevi zaidi ya kula vizuri
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nashukuru kuzaliwa muislamu

    Nashukuru sana kuzaliwa nikiwa muislam. Ninaomba sana Allah aniondoshe ktk dunia hii nikiwa ni muislam tena muumin. Ningalikua nimezaliwa nje ya uislam ingalikuaje?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Hakuna nilichofanya mwaka 2025 cha maana, nashukuru tu niko hai

    Salaam! Huu mwaka 2025 mwanzoni Januari hali niliona itakua vizuri kutokana na jinsi nilivyokuwa napambana na matokeo napata. Baada ya Januari, oh ni mambo yalikua sivyo kabisa hadi mwaka unakata saivi huku nikitazama notebook yangu ya malengo, naona kote 0.0%. Kila nilichofanya, hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…