napendekeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kizibo

    Napendekeza Mange Kimambi awe Mkuu wa Idara ya Upelelezi na ujasusi wa Gen Z

    Habari. Napendekeza Mange Kimambi awe mkuu wa idara ya upelelezi na ujasusi wa Gen Z. Tukishamteua, naye atateua/atapndikiza agents katika idara nyeti kama jeshini, polisi, uhamiaji hadi ikulu ambao watakuwa wanampa habari. Pia, napendekeza au nasharu kuwe na viongozi wa Gen Z katika mikoa...
  2. President of China

    Napendekeza: Tuwe na CCM Pekee Kama Ilivyo China na CCP, Vyama Vingine Visiwe Washindani Bali Vishiriki Ndani ya CCM

    Katika kipindi cha miaka ya karibuni, siasa za ushindani nchini Tanzania zimegeuka kuwa uwanja wa lawama, chuki, na migawanyiko badala ya kuwa chanzo cha mawazo ya maendeleo. Vyama vingi vya upinzani vimeshindwa kuja na sera mbadala zinazotekelezeka, badala yake vimekuwa vikijikita katika maneno...
  3. Kurunzi

    Napendekeza Uundwe Mfuko Maalumu wa Kuchangia Fedha Familia zilizopoteza ndugu zao au Walijeruhiwa Kwenye Maandamano ya 29/10/2025

    Tarehe 29/10/2025 ni siku ambayo haitasahaulika Katika historia ya nchi yetu ni siku ambayo ulifanyika uchaguzi ( Uchfuuzi) sambamba na kuwepo kwa maandamano ambayo baadhi ya watu wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa. Maandamano haya, ingawa ilikuwa ni njia ya watu kutoa sauti zao kuhusu...
  4. The Father of All

    GE2025 Napendekeza Samia aapishwe in Kampala au Nairobi

    Kwa alivyofunga bao la kisigino, napendekeza, kwa usalama wake, Samia aapishiwe ima Kampala au Nairobi.
  5. The Father of All

    Napendekeza taifa litumie bendera kama taswira yake badala ya rais tena wengine mafisadi na machawa

    Ni mara nyingi nasikia watu wakisema eti rais ni alama na taswira ya nchi. Hii si haki wala sawa. Kwanini tusitumie bendera au nembo yetu wengine wachafu kiroho na kimwil Je wewe unaonaje na kusemaje? Nafikiri kimya kimya.
  6. Griss

    Napendekeza njia Bora ya kuwaangamiza Wanamtandao

    Wakuu mtandao ni mkubwa mno ni ngumu kuwadhibiti bila Mungu kuingilia Kati au wananchi wa kipato Cha chini kujitoa Muhanga na kuingia barabarani kitu ambacho Watanzania hawakiwezi. Sasa napendekeza njia Bora ya kuufuta mtandao ni kuungana na mtandao ili kujua kila hatua na kila mpango na kuja...
  7. S

    Kuna jambo ambalo watanzania kwa sasa wanaomba litokee, likitokea, napendekeza lifuatiwe na hatua hizi

    Ukipita mitandaoni, utagundua kuwa kwa sasa kuna watanzania wanaomba jambo moja very serious lifanyike ili nchi irudi kwenye mstari Mtu anashauri jambo very serious lifanyike na anapata comments zaidi ya 2000 huku karibu asilimia 99 zinaunga mkono wazo lake. Hii ni ishara kuwa watu wamechoka na...
  8. Nomadiq

    Nguvu ya JamiiAfrica ni usiri, kama utaondolewa utapunguza ufanisi wake

    Tangu kuanzishwa kwa JamiiForums mwaka 2006 hadi ilipobadilishwa kuwa JamiiAfrica 2025, nguvu kubwa ya mtandao huu ipo kwenye usiri wa utambulisho wa members(anonymity). Uchangiaji unakuwa bora zaidi maana members tunakuwa na uhuru wa kutoa mawazo yetu, kukosoa,kukejeli, kupinga, kupongeza n.k...
Back
Top Bottom