nanasi

Balázs Nánási born 22 April 1989 in Nyíregyháza) is a Hungarian football player.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Maganda ya nanasi hutibu ugonjwa wa U.T.I

    Mimi huku nilipo nimeona maeneo mengi ya wafanyabiashara wa mananasi wanauza na kutoa maganda ya mananasi kuwapa wateja kwa wanaoomba. Ila nimeona wateja wengi ni wakike wanasema maganda ya mananasi yanatibu U.T.I kama ukichemsha na kunywa maji yake. Je, kuna ukweli wowote U.T.I inaondolewa...
  2. JamiiForums Tanzania Mashamba ya kilimo cha Nanasi Bagamoyo na Chalinze

    Mashamba kwa ajili ya kilimo cha Nanasi/mahindi/migomba nk yanapatikana,Bago,kiwangwa na Talawanda..Na mashamba pori yanapatikana pia. Bei rafiki. .Simu 0626431257
  3. JamiiForums Tanzania MANANASI na MACHUNGWA yanauzwa bei gani ya jumla huko kiwangwa?

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Kwa anayefahamu bei ya jumla ya MANANASI na MACHUNGWA kutoka kwa wakulima wa KIWANGWA- CHALINZE naomba anijuze. Natanguliza shukrani 🙏🏽🙏🏽
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…