Kutokana na tuhuma alizotoa polepole jana, zimenirudisha nyuma kidogo kiasi cha wiki mbili hivi.
Hawa wasambaza gas za Taifa Gas mitungi midogo ambayo wanatoa kwa bei ya offer ghafla saba wanapokupa unaacha namba ya NIDA. Sijajua lengo la NIDA number ni nini na kuna mahusiano katika ya Gas na...
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetangaza kusitisha matumizi ya namba za utambulisho kwa wale waliokaidi kuchukua vitambulisho vyao.
Tangazo hilo linakuja ikiwa zimesalia siku 15 kufikia ukomo wa agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, la kusambaza vitambulisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.