“Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kulipa posho za waheshimiwa madiwani, posho za waheshimiwa wenyeviti wa Serikali za vijiji na mitaa, lakini tutaendelea kuona uwezekano kwa kadri ya uwezo wa serikali, namna ambavyo halmashauri zitaboresha posho za wenyeviti wa vijiji.” – Dkt...
Tarehe 04 Aprili, 2025, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Zainab Katimba ametimiza mwaka mmoja wa UTUMISHI wake tangu alipoteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Naibu Waziri OR-TAMISEMI
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Zainab Katimba, amesema serikali inaendelea kuchukua hatua za kukabiliana na upungufu wa walimu kwa kuajiri kila mwaka kulingana na upatikanaji wa fedha, huku kwa sasa ikiwa katika majaribio ya matumizi ya teknolojia ya madarasa janja.
Katimba...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba, amewataka wakuu wa Idara na Vitengo vya Sheria katika Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha wanazingatia weledi, uadilifu, na uwajibikaji katika majukumu yao ili kuepusha uzembe unaoigharimu serikali.
Akizungumza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.