nahitaji muwekezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NyegereBOY

    Nahitaji mwekezaji wa kuwekeza milioni 50 katika Hotspot Business, mtaji utarudi ndani ya miezi 6

    Natumaini ni wazima wa Afya na heri ya mapumziko ya mwisho wa mwaka Najua mwaka huu ulikuwa na changamoto nyingi na baadhi yetu tulikuwa na malengo mengi naimani kwa uwezo wake M/Mungu mwaka ujao tutakamilisha au kuanzisha ndoto tulizoacha Nisiwachoshe sana kwa salamu ni kama kichwa...
  2. sangaima

    NAHITAJI BUSINESS PARTNER

    Habari wakuu. Takribani majuma mawili yaliyopita nilipost thread katika Jukwa ili thread yenye title : NATAFUTA KAZI YEYOTE ILE nashukuru Mungu japo kuwa muitikio haukua positive directly ila indirectly ulinifungua sana akili nakuniwezesha kuona opportunity ambayo inaweza zalisha kipato...
Back
Top Bottom