Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ADA-TADEA, Juma Ali Khatib, amesema chama chake hakina dhamira ya kumpinga Rais wa sasa, Dk. Hussein Ali Mwinyi, bali kinalenga kupata nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fomu za kugombea urais katika...