Baraza la NACTVET halijatoa vyeti vya wahitimu wa kada ya nursing chuo cha Newala School of Nursing waliohitimu September 2025.
Cha kusikitisha ni kwamba vyuo vingine vilishapatiwa isipokuwa chuo kimoja tu kitu kinachopelekewa wahitimu kukosa fursa mtaani na hamna maelezo ya kueleweka kuwa...
Anonymous
Thread
baraza
chuo
huwa
kada
nactevet
newala
nursing
school
vingine
vyeti
vyeti vya wahitimu
vyuo
wahitimu
CBE nawalalamikia binti yangu kamaliza 2024 Diploma lakini akienda Nactevet anaoneshwa kwamba wahusika wa CBE examinations officers hawajampandoshia matokeo yake yote bila taarifa wala sababu.za msingi.
Tunaomba Mkuu wa chuo Prof Thandi Luoga kulifanyia kazi hili.haraka ikiwezekana tumbua...
Wakuu
Niko nyavuni na hawa jamaa wa utumishi,by 14 June natakiwa kupiga written ya admission officer ii mwajiri ni NACTEVET.
Mwenye kujua maswali ya written wanayouliza hawa jamaa wa utumishi atupe dondoo hapa.
Niliomba nafasi ya admission officer kupitia utumishi,naona wametoa majina leo,nyomi kama ile ya tra.nafasi mbili tu ila zinagombaniwa na watu 7,500.
Vipi napo kuna mkwanja wa kueleweka?
Habari wana jamiiforums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hili bandiko sijagusa Maisha ya mtu/watu. Lakini Kwa njia hii, vyeti vya wanachuo vitoe picha kamili na sahihi kuhusu sababu za muda mrefu wa masomo yao, hii itasaidia kuepusha mkanganyiko kuhusu uwezo wao wa kitaaluma na changamoto...
changamoto
chuo
elimu
hii
kilaza
kimaisha
kuahirisha
kujua
maisha kujifunza
masomo
mwaka
nactevet
ngazi
sababu
sababu za
tanzania bara
tcu
ugumu
vyeti
vyuo vikuu
vyuo vya kati
wahitimu
Naomba msaada, nimekamilisha kujiunga na kulipia NACTEVET kwa ajili ya application ya diploma. Tatizo linakuja Kila nikitaka kuloqin naambiwa nimekosea username au password ukizingatia username ni namba yangu ya mtihani. Mbaya zaidi nikijaribu option ya kuset password naye inakataa. Mbaya zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.