nabii issa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Kumbe Nabii Issa ameshuhudia na kutabiri mwenyewe kwenye kurani 19:30-31 kuhusu , siku ya kufa na kufufuliwa kwake

    Wadau angalia wenyewe ushuhuda huu. "Maryam akaashiria kwake (yule mtoto wamuulize yeye). Wakasema:“Tutazungumzaje na aliye bado mtoto kitandani? (19:29) (Yule mtoto) akasema: “Hakika mimi ni mja wa Mwenyezi Mungu, Amenipa kitabu na Amenifanya Nabii. Amenifanya mbarikiwa popote...
  2. M

    Kuzaliwa Kwa Nabii Issa ( YESU)

    Katika Uislamu, kuzaliwa kwa Nabii Issa (Yesu, AS) kunahusiana na muujiza mkubwa wa Mwenyezi Mungu. Qur'an inamwelezea Nabii Issa kuwa ni miongoni mwa Manabii watukufu waliotumwa kwa Wana wa Israeli. Kuzaliwa kwake ni tukio maalum linaloonyesha uwezo wa Mwenyezi Mungu. Kuzaliwa kwa Nabii Issa...
  3. Randy orton

    Je, kuna mwanadamu aliyewahi kuwa na nguvu, mamlaka na miujiza kumzidi Nabii Issa?

    Kwa Mujibu wa Quran, yafuatayo ndiyo yalikuwa maajabu/mamlaka ya Nabii Issa. 1. Aliweza kuwaumba ndege kwa kufinyanga udongo na kuwapulizia pumzi ya uhai (Quran: 3-49). 2. Aliwafufua watu kutoka wafu (Quran:3-49). 3. Ndiye mtu aliyetajwa zaidi katika Quran, moja kwa moja mara 25 (ili hali...
Back
Top Bottom