mzee wasira

Hussein Mussa Mzee (born 1 March 1964) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Jangombe constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Chachu Ombara

    Mzee Wasira: Hakuna kesi za kisiasa Tanzania

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, ameeleza kuwa mchakato wa maridhiano ya kitaifa haupaswi kutumika kama kinga ya kukwepa uwajibikaji wa kisheria kwa wale waliohusika katika uhalifu. Katika mahojiano maalumu na gazeti Mwananchi, Wasira amepinga vikali dhana ya...
  2. Sifi Leo

    MSUTI wa katibu mkuu wa MAKAMU wa Rais kama wa Mzee wasira

    Mzee mbona MSUTI ni oversize?
  3. Sifi Leo

    Nina fedha 5 Bilioni Mzee wasira nenda Kisesa ukiwa umevalia nguo za CCM itisha mkutano, wa shukurani uwashukuru wapiga kura kwa kuchagua rais

    Sina KESHI ila ntazikopa, kama niliwai tamani kuuza nyumba ya urisi kwa Ajili ya kumpata wema Sepetu,sishindwi Kuiuza Ili nikupe Mzee wasira ukaitishe mkutano pale kisesa uwashukuru Wana CCM kwa kuwachagua wabunge na MH RAIS kuwa Rais. Nataka uende na nguo zako za ccm UKIMALIZA mkutano salama...
  4. Kimbesa11

    Mzee Wasira ndiye Mzee pekee Tanzania ambaye akisimama na kuongea jambo unaona utajiri wa hekima na Busara alizonazo mzee wetu

    Heshima ya Mzee Wasira kwa jamii na kwa chama haijawahi shuka, Mzee akiongea unaona Nuru, unaona mwanga unatapa uchungu wa kuilinda amani ya Tanzania yetu. Sisi vijana tunategemea tuambiwe uchungu wa kulinda amani ya Taifa letu, tunataka tuambiwe juu ya thamani ya Amani tuliyonayo sasa...
  5. Idugunde

    GE2025 Mzee Wassira kama miaka ishirini inatosha kwa Mpina mbona wewe upo kwenye uongozi zaidi ya miaka 40?

    Nimemsikia mzee Wassira akinadi kuwa CCM ni chama kikubwa hivyo wapo wanaoingia na kutoka kuachiana madaraka. Amesema kuwa Mpina kuwa Mbunge wa Kisesa kwa miaka 20 inatosha. Swali la msingi kama uongozi ni kupokezana vijiti mbona mzee Wassira hajawaachia wengine zadi ya miaka 40 ni kiongozi wa...
  6. Waufukweni

    GE2025 Polepole: Mzee Wasira alimfuata Magufuli kuomba ateuliwe kuwa Waziri Mkuu

    Polepole amesema Mzee Wasira alimfuata Magufuli kuomba ateuliwe kuwa Waziri Mkuu
  7. Magufuli 05

    Nakuonea Huruma Mzee wasira

    Hilo kundi unalolipigia debe siyo kundi lako toka zamani na hata Leo. Zaidi tu ni kwamba wote mpo kwenye kapu Moja la CCM. Walikuweka hapo kimkakati tu. Kuisogeza lake zone ambayo ni zone pendwa kwa walaji. Na wajua kabisa kwamba wewe upo mwishoni ama kwa kutupa taulo mwenyewe au kwa kazi ya...
  8. LIKUD

    Ukweli Mchungu: Uki -mstudy kwa makini Mzee Wassira, utagundua kwamba huyu ni Mzee mwenye akili nyingi sana

    Tatizo la graduates wengi wa Tanzania,vyuoni walienda kusoma wafaulu wapate GPA za juu ili ziwasaidie kuajiriwa. Hawakwenda vyuoni kusoma ili wapate maarifa yatakayo wasaidia kutatua changamoto halisi kwenye maisha yao. King Phillips of Macedonia alimpeleka mwanae Alexander the Great kwa...
  9. Carlos The Jackal

    Mh Polepole asema , Mzee Wasira akiiwakikisha CCM alitumika kuvuruga kabisa Mchakato wa Katiba Mpya !!.

    Kwa kuanzia Mh Polepole amehoji, Ilikuaje Wassira akajinasibu mbele ya Vyombo vya habari kua Alikua yeye ndio atakua Makamo Mwenyekiti??. Sasa mnaweza kuunganisha Doti Doti !!!.
  10. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Wasira: Uchaguzi sio ajali, waliokuwa wanafunga vioo vya magari wajue sasa wanarudi kwa wapigakura

    MAKAMU Mwwnyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewaeleza wabunge na madiwani hususan waliokuwa wanajifungia vioo kwenye magari wajue wakati umefika. Amesema uchaguzi mkuu sio ajali na kwamba wabunge na madiwani wanajua kila baada ya miaka mitano hufanyika uchaguzi...
  11. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Wasira: Viongozi wanaohubiri chuki wame wrong namba

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuwa Tanzania ni nchi ambayo watu wake wanaishi bila ya kubaguana kwa dini, rangi au kabila na kwamba hayo ni matunda yaliyotokana na kazi nzuri ya kujenga umoja na mshikamano iliyofanywa na waasisi wa taifa. Aidha, amewataka...
  12. Sekunde chache

    Mzee Wasira huyu hapa

    Wiki kadhaa zilizopita kuna watu walimmisi Mzee Wasira wakawa wanauliza Yuko wapi? Leo kaibuka katika mkutano wa CCM huko Dodoma akiwa na nguvu zaidi, Ari zaidi na Kasi zaidi.
Back
Top Bottom