Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu . Pili ,kwa Mheshimiwa huyu kuwa karibu sana na jamii , napenda aendelee kuwa katika nafasi hii kwa vile anajua wajibu .
Naomba kutambua mchango wa wadau wote humu ndani kwa michango yao , kwa pamoja katika kuchangia hoja ...
Mkizisikia tena nyimbo za nani kama mama msizime runinga abadani wala kupunguza sauti ya redio, bali ngojeni hadi ubeti wa mwisho tusikie angalau huenda baba nae atatajwa.
Na hata asipotajwa basi msimdhihaki mtunzi huenda kwake alilisifu tunda zuri na tamu, lakini hakuona juhudi za mti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.